kvipMifano ipo mingi
Jirejee wewe mwenyewe
Gap zinaanza kuonekana baina ya miongoni mwenu ..Mleta mada naomba nikuulize kupoteza marafiki na kukua vinahusianaje?
Good questionMleta mada naomba nikuulize kupoteza marafiki na kukua vinahusianaje?
Hujajibu swaliGap zinaanza kuonekana baina ya miongoni mwenu ..
Mfano wale uliosoma nao o level .....mnaanza kujitenga
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ndo hoja yangu haswa ndo maana nikasema kuwa marafiki huja na kuondokaNaona kama umechanganya mambo hapo.
Kupata marafiki wengine na kuhitilafiana na wa zaman!!.
KWeli kukua huendana na kukutana na watu wapya, lakini haina maana ya kulazimika kugombana na watu wako wa zamani!!
Sina marafiki mahasimu ila ukaribu unapungua kadri muda unavyozidi kwenda kutokana na majukumu.Bado una marafiki walewale au hujawahi Kuta rafiki ako anakuwa hasimu yako
Nimekuelewa sana mkuuKutokana na umri unavyokwenda,kila kitu hupungua,
hakuna kinachodumu milele,huu ndio ukweli wenyewe,
Kila mtu ana marafiki katika hatua tofauti za maisha yake but ni wachache sana waliobahatika kua na marafiki wale wale katika hatua zote,
sisi sote tunakua,tunahamia maeneo mapya,tunakutana na watu wapya,na mara nyingi tunashindwa kudumisha marafiki wa zamani kama ilivyokua kutokana na sababu mbali mbali,
Kwa kiasi fulani nakubaliana na mleta mada kua,katika stage zako za maisha ukijiona hupati marafiki wapya,basi kuna kitu hakipo sawa kwako,ila sikubaliane nae kua,ukiwa na rafiki wa muda mrefu,basi atageuka kua adui kwako,
Kua na maadui kwenye maisha ni jambo la kawaida sana,ukijiona kua huna maadui,hii nayo huashiria kua,kuna kitu hakipo sawa kwako katika utafutaji wa maisha.