Kama hautaki katiba mpya hautufai

Hii katiba mbovu iliyopo ndio inamfanya atawale atakavyo badala ya kuongoza, hivyo katiba mpya yenye afya kwa taifa itamuondolea ukichaa anaoufanya jambo ambalo ni ndoto kwake
 
Unapaswa kufanyiwa tohara ya akili ili upate ufahamu japo kidogo tu
 
Mjadala wa chuo kikuu ulikosa mwelekeo baada ya professors wachokoza mada kutaarifiwa kuwa JPM yupo Nkurumah Hall. Huu ni ujinga wa kitaaluma na uzezeta wa kiprofesa Tanzania.
 
Hii katiba mbovu iliyopo ndio inamfanya atawale atakavyo badala ya kuongoza, hivyo katiba mpya yenye afya kwa taifa itamuondolea ukichaa anaoufanya jambo ambalo ni ndoto kwake
Ukiona kiongozi anasema tuendelee kuishi katiba yenye viraka viraka jua kabisa kuwa ana dosari kwenye kufikiri kwake
 
Msijitoe ufahamu. Katiba mpya ni kwa ajili ya kila Mtanzania. Asiyetaka katiba mpya ni kichaa.

Asietaka Katiba Mpya Ni Mwanadamu Mwenzako Mwenye Mawazo tofauti Na yako

Ukiamini Mwenye Mawazo tofauti Na yako Ni kichaa Jua Bado hujui maana ya uhuru wa Kuwa Na Mawazo tofauti
 
Magufuli a.k.a Jiwe hana uzalendo wowote nashangaa mijitu inazidi kumshangilia tu eti mzalendo Mara presidente wa wanyonge aaaah wapi porojo tupu
 
Tanzania inakatiba yake, Sidhan kama kuna nchi haina katiba. Baati nzuri tuna Rais anaye ongoza kwa kufuata katiba na hamumunyi maneno.
We ni kipofu au kiziwi?
 

Dotto ameeleza vizuri sana hali halisi ya taifa letu. Zaidi ya yote nimevutiwa sana na dhana ya "maendeleo endelevu". Hii ni dhana muhimu sana kuzingatiwa na wapenda mabadiliko na ustawi wa jamii. Mhe Pombe amekuwa anasisitiza suala la maendeleo. Dhana ya 'maendeleo' yaweza kuwa maendeleo ya vitu kv hizo barabara, flaiova, sgr, madrilaina, nk. Ni sawa kabisa. Lakini maendeleo hayo yaweza yasiwe endelevu. 'Maendeleo endelevu' ni maendeleo ambayo yanashirikisha walengwa (yaani wananchi, of course, kupitia kwa wawakilishi wao - Wabunge)) katika kuamua vipaumbele. Vipaumbele vikiishaamriwa kwa kuzingatia uwiano wa vitu pamoja na watu (ustawi wa jamii, mfano tusijenge sgr wakati huo huo watu wanakufa kwa njaa au wanakosa elimu bora), basi utekelezaji wake na hata uhifadhi wake utashirikisha jamii nzima. Kila mwanajamii atahisi ni mmiliki (sense of ownership) na kuahakikisha kilichoamuriwa kinafakinikiwa na kustawi. Kwa njia hii hutasikia mtu anasema dirimulaina za Magufuli, bali drimulaina zetu (ameshiriki kuamua, anashiriki kujenga na kulinda maslahi ya kilichoamuriwa, anajisikia ni mali yake, na matokeo yake ni kuntu katika ustawi wa kuanzia mwanajamii mmoja hadi jamii nzima). Tupiganie 'maendeleo endelevu' badala ya kupigania 'maendeleo'.
 
Sorry mkuu nimejichanganya nilikuwa namquote Pohamba post #17

Hahahaha Magari ya Kampuni Moja yamegongana yakigombea abiria

Pole Swahiba wangu

Lete hoja tupambane Kwa hoja Na ndio Utamaduni wetu wa JF
 
Sheria zipi zimevunjwa?,unaimba ka juha bitch!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…