pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,680
- 6,382
Kiwanda cha watu wapumbafu kipo TanzaniaYaani kupambania tu ushoga usiingie Tanzania ndio iwe sababu ya kuchorwa na kudhihakiwa kiasi hiki kwa rais wa Tanzania?.
Tanzania ni ichi huru na imejitosheleza kujiendesha kiutawala,ina mihimili yote mitatu iliyokamilika, wanapotoka watu kutoka inchi nyingine na kutaka kutupangia wanavyotaka hili halikubaliki,
Tutasimama na Mama kama rais na kiongozi mkuu wa inchi na kuilinda Tanzania yetu dhidi ya adui yeyote awaye, na wakati wowote tutasimama na kiongozi yeyote awaye kuilinda inchi yetu
Ikibidi na iwe tu hivyo wanavyotaka, kwani nani anaefaidika?
UBAYA UBWELA
Ukicheka na nyani utavuna mabua
Hawa walishindwa na al shabab tu ndio iwe sie?
Mama zangu tax na SAMIA amueni tu kama mbwai na iwe mbwai
Tanzania, Tanzania, nakupenda kwa moyo woteeee,
Inchi yangu tanzania nakupenda kwa moyo wooooteee,
Nilalapo nakuota wewe, niamkapo ni heri
Hapa tunapambania Tanzania, uzalendo kwanza, kama wenzetu ni wakenya labdaKiwanda cha watu wapumbafu kipo Tanzania
Mkuu hapa naililia Tanzania, ushoga uliokuwepo ni sio rasmi ila kututaka tuhalalishe hilo sasa hatutaki..ushoga tayari uko hapa Tanzania.
..kuna taarifa za kusikitisha kwamba ushoga umeingia mpaka ile nyumba takatifu.
..pia katika genge la wasiojulikana inasemekana wako watu maalum wa kulawiti na kubaka.
..tusilaumu Wakenya, kwa matatizo yetu wenyewe.
Nisaidie kujibu hilo swali mkuuYaani kupambania tu ushoga usiingie Tanzania ndio iwe sababu ya kuchorwa na kudhihakiwa kiasi hiki kwa rais wa Tanzania?.
Tanzania ni ichi huru na imejitosheleza kujiendesha kiutawala,ina mihimili yote mitatu iliyokamilika, wanapotoka watu kutoka inchi nyingine na kutaka kutupangia wanavyotaka hili halikubaliki,
Tutasimama na Mama kama rais na kiongozi mkuu wa inchi na kuilinda Tanzania yetu dhidi ya adui yeyote awaye, na wakati wowote tutasimama na kiongozi yeyote awaye kuilinda inchi yetu
Ikibidi na iwe tu hivyo wanavyotaka, kwani nani anaefaidika?
UBAYA UBWELA
Ukicheka na nyani utavuna mabua
Hawa walishindwa na al shabab tu ndio iwe sie?
Mama zangu tax na SAMIA amueni tu kama mbwai na iwe mbwai
Tanzania, Tanzania, nakupenda kwa moyo woteeee,
Inchi yangu Tanzania nakupenda kwa moyo wooooteee,
Nilalapo nakuota wewe, niamkapo ni heri
Tanzania kwanza, vyama baadae, rais ni wa wote, siwezi kubali rais wangu adhalilishwe,Chawa wa mama
Mkuu hapa naililia Tanzania, ushoga uliokuwepo ni sio rasmi ila kututaka tuhalalishe hilo sasa hatutaki
Hata mbeya na moshi arusha na kote wapo mashoga wengi tu, huo mchezo siku hizi wanaufanya wengi tu, hapa tunalilia kurasimishwa rasmi watanzania hatutaki, huko kwao kama utayari hapa hatutaki...kati ya Wazanzibari na Wakenya wapi wamebobea na kukubuhu kwa ushoga?
Ovyo kabisa mmepangiwa nini? Wakati ninyi ndio chanzo. No reform no electionYaani kupambania tu ushoga usiingie Tanzania ndio iwe sababu ya kuchorwa na kudhihakiwa kiasi hiki kwa rais wa Tanzania?.
Tanzania ni ichi huru na imejitosheleza kujiendesha kiutawala,ina mihimili yote mitatu iliyokamilika, wanapotoka watu kutoka inchi nyingine na kutaka kutupangia wanavyotaka hili halikubaliki,
Tutasimama na Mama kama rais na kiongozi mkuu wa inchi na kuilinda Tanzania yetu dhidi ya adui yeyote awaye, na wakati wowote tutasimama na kiongozi yeyote awaye kuilinda inchi yetu
Ikibidi na iwe tu hivyo wanavyotaka, kwani nani anaefaidika?
UBAYA UBWELA
Ukicheka na nyani utavuna mabua
Hawa walishindwa na al shabab tu ndio iwe sie?
Mama zangu tax na SAMIA amueni tu kama mbwai na iwe mbwai
Tanzania, Tanzania, nakupenda kwa moyo woteeee,
Inchi yangu Tanzania nakupenda kwa moyo wooooteee,
Nilalapo nakuota wewe, niamkapo ni heri
Kuna mama mmoja alisema kwenye mkutano wa ccm kuwa ndani mle Kuna mabwabwa mengi tu...ushoga tayari uko hapa Tanzania.
..kuna taarifa za kusikitisha kwamba ushoga umeingia mpaka ile nyumba takatifu.
..pia katika genge la wasiojulikana inasemekana wako watu maalum wa kulawiti na kubaka.
..tusilaumu Wakenya, kwa matatizo yetu wenyewe.
Hii sio sawa kabisa mungu ameamua kumtengenezea mama ng'ombe?
Hata mbeya na moshi arusha na kote wapo mashoga wengi tu, huo mchezo siku hizi wanaufanya wengi tu, hapa tunalilia kurasimishwa rasmi watanzania hatutaki, huko kwao kama utayari hapa hatutaki.
Halafu usitutoe inje ya mada, mada ni kama sio chadema wanaomtukana na kumdhalilisha mama kwa katuni basi wakenya wanadhlililka sana,
Je tax na samia wapo tayaro tuondoe hili?
Thamani ya Tanzania ndio kufurahisha wakenya?Ovyo kabisa mmepangiwa nini? Wakati ninyi ndio chanzo. No reform no election