Kama hawa sio CHADEMA, basi wakenya wanadhalilika sana

Kama hawa sio CHADEMA, basi wakenya wanadhalilika sana

Kama inalipa why not? Kila mtu mwenye akili lazima atalinda mgodi wake aendelee kuchota kama anagain so hujakosea boss chawa
Ni sawa pia, kwani nyie mkituharibia hapa si mnarudi kwenye mgodi wenu kenya?
Nitasimama na Tanzania mpaka pumzi ya mwisho
 
Kumbe mwenzangi ni ke,

Ndio maana naona michambo badala ya hoja

Tanzania ni moja, nitasimama na Tanzania hadi pumzi yangu ya mwisho
Mimi siyo mwenzako mimi mwanaume, kama mumeo hakufikishi Kibo njo nikuweke fresh.
 
We kweli kenge,unasimama na miguu yako au unasimama na mama samia,nirudie kuandika kuwa wewe kweli ni kenge la kwenye dimbwi dogo
 
We kweli kenge,unasimama na miguu yako au unasimama na mama samia,nirudie kuandika kuwa wewe kweli ni kenge la kwenye dimbwi dogo
Umeshindwa hoja unarukia matusi?
Sawa mimi ni kende lakini

Nitasimama na Tanzania mpaka pumzi ya mwisho
 
Hivi kwanini hao kina karua na mwangi na wengineo wakenya wanaojidai haki za bonadamu kwanini wasiwatetee wale wapemba waliouwawa na mkapa na wengine kukimbilia mombasa?
Hawakuwaona? Au hawakuwepo?
Kwanini sasa?
Sio wao tu, hata wewe unaweza kuwatetea. Usisubiri ufanyiwe na mwingine wewe ukiwa umejilaza kijiweni
 
Wanasiasa wengi hukimbilia kwenye kichaka cha ushoga, nadhani ni kwasababu ni kitu rahisi kuongelea, watanzania wengi watakuona mzalendo hasa ukigusa imani zao kwa namna chanya.

Babu Tale nae alipoona maswali yamekolea akakimbilia kwenye hicho kichaka, ooh wanataka tufate mambo yao ya ushoga.
 
Back
Top Bottom