Kama hawa sio CHADEMA, basi wakenya wanadhalilika sana

ONYESHA SEHEMU SHERIA YAKO IMEKATAZA USHOGA... UNAONGOZWA NA WATU WALIO TULIA NA UPINDE WA MVUA... WANANCHI TUNAAKILI KULIKO ZAMANI HIZO SABABU TUMEZICHOKA TAFUTA NYINGINE.... TUMEKUWA KWENYE MILA,DESTURI NA UDINII... HUOO USHOGA VIONGOZI WAKO WANAONGOZWA NA SHERIA AMBAYO HAIJAKATAZA USHOGA NDIO WALIOLETA USHOGA HAPA NCHINI
 
Ushoga upo tena umeanzia huko utosini.
 
Inajulikana wazi kuwa yule shoga James Delicious ni mwanachama wa CCM. Bado kuna Nabii Tito na Afande Rama poti ndani ya serikali ya CCM.
Aliyewahi kuwa mwenezi wa CCM na sasa hivi DC wa Kilosa ni shoga tena aliwahi kuolewa kabisa huko Mombasa, hilo chama chakavu limeoza kwa ushoga na usagaji
 
Wewe utakuwa ni mmoja wa hao ng'ombe wa Mama bila shaka! Eti mnapigania ushoga usiingie!!
 
Dawa ya moto si moto.
Unapambana nini na kelele za chura utaziweza hawana silaha hawana jeshi unaogopaje kivuli chako
 

Sawa mchengerwa, msalimie mama mkwe mpe pole sana yatapita tu kama mengine, chadema haina uhusiano nayo! Keshamfunga simba na bado anakosa usingizi?
 
Chizi ni huyo aliyewachokoza machizi wenzake ngoja avune alichopanda, wewe hata mumeo akishindwa kukukojoza utailaumu Chadema.
Kumbe mwenzangi ni ke,

Ndio maana naona michambo badala ya hoja

Tanzania ni moja, nitasimama na Tanzania hadi pumzi yangu ya mwisho
 
Hivi kwanini hao kina karua na mwangi na wengineo wakenya wanaojidai haki za bonadamu kwanini wasiwatetee wale wapemba waliouwawa na mkapa na wengine kukimbilia mombasa?
Hawakuwaona? Au hawakuwepo?
Kwanini sasa?
Kumbe kuna wapemba walishawahi kupigwa mabomu na serikali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…