Kama hawa walishiriki uchaguzi ndani ya CCM, basi katiba imevunjwa!

Kama hawa walishiriki uchaguzi ndani ya CCM, basi katiba imevunjwa!

baajun

Senior Member
Joined
May 19, 2012
Posts
199
Reaction score
6
CCM NA JK WAZIVUNJA KATIBA ZA NCHI NA CHAMA , RAIA WA MAREKANI WAPIGA KURA DODOMA. MAJINA HAYA HAPA

RAIA WA MAREKANI NA UINGEREZA WASHIRIKI MKUTANO WA CCM DODOMA, WATUMIWA NAULI KUSHIRIKI MKUTANO NA KUPIGA KURA. ZILITUMWA TICKETS 40 KWA MKOA WA DIASPORA, UINGEREZA, CHINA, INDIA MAREKANI N.K DMV TICKETS 8.

CCM na JK wazivunja katiba za nchi na chama. Mwenyekiti wa CCM Jakaya Mrisho Kikwete na wanachama wa CCM wamewaruhusu RAIA wa MAREKANI na Uingereza kupiga kura DODOMA. CCM na uongozi wake vimekuwa vikilifumbia macho swala la uraia pacha, hapo hapo inawatumia raia wa nchi nyingine pesa za walipa kodi kwa ajili ya nauli ili wapate political points.

Kanuni za katiba ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania na ya CCM haziruhusu mtu mwenye uraia ambao sio wa Tanzania kushiriki shughuri za kisiasa nchini (HATUNA DUAL CITIZENSHIP). Hawa ni raia wa Marekani na Uingereza ambao wameshiriki uchaguzi DODOMA

-Phanuel Peter Ligate (USA citizen)
-Faraja Isingo (Raia wa kuzaliwa Marekani, alizaliwa Oklahoma)
-Maftah ambaye ni mwenyekiti wa New york CCM (USA citizen)
-Bashiri (Huyu ni Raia wa Uingereza na Burundi)

Kama hawa watu wanakanusha hili, Wathibitishe vinginevyo.Au waonyeshe HATI zao za kusafilia na ziwe na STAMP ya entry na exit…Marekani na Tanzania

Hawa ni Green card holders sheria haiwabani
-Benjamini Mwaipaja
-Elizabeth Luhanga
-Loveness Mamuya (Huyu mara ya mwisho alikua anafanya process za uraia wa Marekani hatuna uhakika kafikia wapi)

TUNAWASHANGAA CMM NA JK WANAVYO ENDESHA MAMBO YAO YA KISIASA KWA KUWA FUMBA MACHO WANACHAMA WAO NA WANACHI NA KUTUMIA PESA ZA WALIPA KODI KUWALIPIA NAULI RAIA WA NCHI ZA WATU.

MUNGU IBARIKI TANZANIA

View attachment 71205View attachment 71205
WA KWANZA KUTOKA KUSHOTO NI MAFTAA, FARAJA, LIGATE, LOVENESS, ELIZA NA BENJAMIN
 
Wamepiga kura kwa mjibu wa katiba ya CCM sio ya Nchi.....
 
Mkuu ulitaka aivunje mara ngapi? Huulizi raia waliofukiwa kule Shinyanga kwa amri zake za kitumwa? Yote yana mwisho!
 
Sasa hayo si myamalize katika vikao vyenu? yanaingiaje katika katiba ya nchi wakati ni yenu CCM? au ndio kutaka kutufanya tulione tatizo ni kubwa mno!
 
Hata ukiwa mchina lakini ni mwanachama wa CCM unaweza kupiga kura ya CCM.

Usiwe bongolala wewe.
 
Back
Top Bottom