T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Itakuwa tunapishana tu ShunieUmepotea au tunapishana tu humu
Kabisa kaona muosha naniliu ndo size yangu kweeli, aki nitamuombea ban[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nahisi ujue hivi kafikilia nini we mleta mada jaman mbona mchochezi hivi kwa dada angu
Homa ya ini veepeBabe usimsikilize huyo....alikuwaga Ex wangu akajaga kutoka na Daby... ana stress za usingo Maza
Kaa nae mbali kabisa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Basi nyuzi kama hii hamna wa kuntaja. Ila zile nyuzi za Magu ungeona nimeshaitwa hata mara 9!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada nisamehe tu nacheka kama mazuri ujueKabisa kaona muosha naniliu ndo size yangu kweeli, aki nitamuombea ban
Sawa ElyItakuwa tunapishana tu Shunie
Kumbe muhenga eenh kama dada sakayoMimi siyo mchangiaji Sana'a ila na mwaka was NNE humu
Anataka kuniharibia penzi langu lililochipukia kwa Khantwe....mpotezee ana stress zakeHoma ya ini veepe
Hehehe kumbe asante nimekuelewa babe kuanzia leo nitakusikiliza wewe tuBabe usimsikilize huyo....alikuwaga Ex wangu akajaga kutoka na Daby... ana stress za usingo Maza
Kaa nae mbali kabisa
We ni wakunicheka mie!!!! Halafu muosha naniliu sijui leo yuko wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada nisamehe tu nacheka kama mazuri ujue
Sa nimeingia Vipi hapo, ujue wewe hunipendiKumbe muhenga eenh kama dada sakayo
HaaaaaahaAaaaaaa sakayo nimemkuta humuKumbe muhenga eenh kama dada sakayo
Ahhaha mambo zake hizi anazozipenda ngoja akuje aoneWe ni wakunicheka mie!!!! Halafu muosha naniliu sijui leo yuko wapi
HayaAnataka kuniharibia penzi langu lililochipukia kwa Khantwe....mpotezee ana stress zake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada yupo humu anaa miaka 4 si mpo sawa jamanSa nimeingia Vipi hapo, ujue wewe hunipendi
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] Wafitini kama huyo mtafuta kiki wasiingilie penzi letu dear.... U are the only 1... napata farijiko la moyo nikiwa na wewe.... Nikiwa na wewe najihisi raha na burudaani..Hehehe kumbe asante nimekuelewa babe kuanzia leo nitakusikiliza wewe tu
Ahahaahha kumbe sakayo muhenga zaidi yakoHaaaaaahaAaaaaaa sakayo nimemkuta humu
Napenda kuja kuonana na wewe ShunieSawa Ely
Poa shemelaHaya
Hhaaaaa na joverestAhahaahha kumbe sakayo muhenga zaidi yako