Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Nawaza tu hii id mpya isije ikawa ujio mpya wa baba d teh teh yaan nawaza tu lakini ameshaniambia harudi tena huku ila nawaza tu ujueMie wa juzi... Kwani kuna nini lakini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawaza tu hii id mpya isije ikawa ujio mpya wa baba d teh teh yaan nawaza tu lakini ameshaniambia harudi tena huku ila nawaza tu ujueMie wa juzi... Kwani kuna nini lakini
Ahaha ila ile ni id mpya sio ile yake kama kabadiliHaha [emoji23]
Yaani alinishinda tabia
Ahaha huyo mgeni hapana alale tuBasi endelea na mgeni wako
Kweli bhana, bora angekupanga hata na mimi.Hivi kumbe ni mie???!! Halafu Kati ya wanaume woooote JF kaona anipe huyoo ako na mke kila uzi??? Wacha nikufwe na utamu wangu mie kuliko kuletewa homa ya ini
Si yuko porini auNawaza tu hii id mpya isije ikawa ujio mpya wa baba d teh teh yaan nawaza tu lakini ameshaniambia harudi tena huku ila nawaza tu ujue
Unaharibu jina la dada yangu anaitwa shunie,sio shuniaBossless vs shunia
Hapana katoka kabisa jf na id yake alimwambia mdogo wake aiunganishe na yake ziwe moja hataki kabisa mambo ya jf ila nimewaza tu kuhusu huyu mgeni ujue ila sio yeye mana hataki kabisa jfSi yuko porini au
Ni mpya Ndioo ile ya zamani kaitupaAhaha ila ile ni id mpya sio ile yake kama kabadili
TehAhaha huyo mgeni hapana alale tu
Kweli mtu kaka akee mwenyew hata nilikua sijaliona ujue kaka akeeUnaharibu jina la dada yangu anaitwa shunie,sio shunia
Ahahhaha chezea fumanizi lazima aitupeNi mpya Ndioo ile ya zamani kaitupa
Hapana dada simtaki mie alale tuTeh
Humtaki eeh
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Si wengine tuna gundu hatutajwi kabisa yaani Kama hatupo sayari hii...mnajipigia mapande wenyewe washkaji, mtukumbuke na sisi wazee wa ruzi bolu
UmeonaeeKweli bhana, bora angekupanga hata na mimi.
HeeHapana katoka kabisa jf na id yake alimwambia mdogo wake aiunganishe na yake ziwe moja hataki kabisa mambo ya jf ila nimewaza tu kuhusu huyu mgeni ujue ila sio yeye mana hataki kabisa jf
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hata ungepangwa na jiwe ungekubaliKweli bhana, bora angekupanga hata na mimi.
Umeonaee
Ni changamotoAhahhaha chezea fumanizi lazima aitupe
Na mie nalalaHapana dada simtaki mie alale tu
Huyu ukhuty binti nimekolea kwakeSlim5 na ukhuty
Ameamua tu kupumzika kwenye social network hajapatwa na chochote ila me nimefurahi teh tehHee
Alipatwa na nini tena