Kama hawa wangetengeneza couple hapa JF, zingenoga sana

Kama hawa wangetengeneza couple hapa JF, zingenoga sana

Yeah, ya nini kuumia moyo ilihali muhusika yupo, bora kujilipua tu potelea mbali, kama ukipigwa chini sawa tu, lakini umejaribu. halafu wewe na@Khantwe tutakosana, mmekomaa Sakaya, Sakaya wakati mleta mada alikosea tu, mnaniharibia jina la mchumba wangu( ooh sorry, kumbe bado hajanikubalia kiuhakika)
[emoji23] [emoji23] mkuu unatuonea sisi tunafuata kilichoandikwa hapo
 
Back
Top Bottom