Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
wapi tenaBye baby najiandaa kwenda arusini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Seoulwapi tena
sawa japo kishingo upande...Nionyeshe thamani ya pendo lako nisijutieWakati mwingine huwa hata halipo usiwaamini sana wahenga
aseeh uko vizuriSeoul
Sana tuaseeh uko vizuri
kila la heri unitunzie penzi languSana tu
Usijali babekila la heri unitunzie penzi langu
Lots of love to youUsijali babe
Haya bwanaJomon si nimefurahi
We cheka tuuHapa ndipo nipapohic mbavu zangu zinataka kutoka asee kwa kicheko
Nashukuru mleta Uzi kwa kuniona ila nataka kuweka kumbukumbu sawaWakuu,
Kwa tunavyoishi hapa JF, tunavyo interact, ni hakika, mawazo na michango ya mtu yanahakisi tabia yake.
Kwa hakika hata mtu akikukurupusha usingizini akuambie kama unachagua mtu wa kutengeneza naye couple, lazima kuna mdau hapa jf anakuvutia na unaweza kumtaja japo humjui.
Pia unaweza ukasema hapa JF, fulani na fulani wangetengeneza couple wangependeza mno.
Kwa mfano mimi kuna watu naona wangekua couple ingenoga sana.
Khantwe na Joseverest
Sky Eclat na Kichwa Kichafu
Dj Sepetu na Sakayo
Na nyingine nyingi.
Kwangu mimi leo ukiniambia nichague wa kutengeneza nae couple, ningemchagua huyu mwana dada wa kuitwa Emmyta.
Ni akina nani wengine unaodhani wakitengeneza couple zitanoga?
Ww ukiambiwa uchague wa kutengeneza nae couple hapa JF utamchagua nani?
wewe na nani ? au tuangalie avatal yenye Chura?Acha kuharibu jina la dada angu wewe!!....haitwi sakaya!.....kajipange upya!!
kapeace njoo uone baby wetu anavyoshindana na vishawishiNashukuru mleta Uzi kwa kuniona ila nataka kuweka kumbukumbu sawa
Moja sakayo ni mwanamke makini ila mumewe ni jamaa yangu na tunaheshimiana anaitwa transcend
Pili sakayo ni rafiki Wa moneytalk my ex
Tatu Mimi Nina ndoa mitaala humu jf ambayo ni mababy wangu wawili joanah na Kapeace
Ova
Mmekuwa bonge la "couple"Usijali babe
Unazungumzia mimi na wewe au mimi na nani?Mmekuwa bonge la "couple"
[emoji23][emoji23][emoji23]......dada angu hana haja ya kuwa na chura!!wewe na nani ? au tuangalie avatal yenye Chura?
kwahiyo wewe unaendana na nani humu.?[emoji23][emoji23][emoji23]......dada angu hana haja ya kuwa na chura!!
Nimepata taarifa kuwa agata edward ana chura,kwa hiyo naanza kufukuzia(kwa sauti ya wanaume wa Dar)!![emoji53][emoji53][emoji53]kwahiyo wewe unaendana na nani humu.?