Kama hawa wangetengeneza couple hapa JF, zingenoga sana

Kama hawa wangetengeneza couple hapa JF, zingenoga sana

Wakuu,

Kwa tunavyoishi hapa JF, tunavyo interact, ni hakika, mawazo na michango ya mtu yanahakisi tabia yake.

Kwa hakika hata mtu akikukurupusha usingizini akuambie kama unachagua mtu wa kutengeneza naye couple, lazima kuna mdau hapa jf anakuvutia na unaweza kumtaja japo humjui.

Pia unaweza ukasema hapa JF, fulani na fulani wangetengeneza couple wangependeza mno.

Kwa mfano mimi kuna watu naona wangekua couple ingenoga sana.

Khantwe na Joseverest

Sky Eclat na Kichwa Kichafu

Dj Sepetu na Sakayo

Na nyingine nyingi.

Kwangu mimi leo ukiniambia nichague wa kutengeneza nae couple, ningemchagua huyu mwana dada wa kuitwa Emmyta.

Ni akina nani wengine unaodhani wakitengeneza couple zitanoga?

Ww ukiambiwa uchague wa kutengeneza nae couple hapa JF utamchagua nani?
Nashukuru mleta Uzi kwa kuniona ila nataka kuweka kumbukumbu sawa
Moja sakayo ni mwanamke makini ila mumewe ni jamaa yangu na tunaheshimiana anaitwa transcend

Pili sakayo ni rafiki Wa moneytalk my ex

Tatu Mimi Nina ndoa mitaala humu jf ambayo ni mababy wangu wawili joanah na Kapeace

Ova
 
kapeace njoo uone baby wetu anavyoshindana na vishawishi

Baby,you are awesome!
 
Back
Top Bottom