Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
ohooo....basi tutabanana humohumoHaha [emoji23]
Naiona talaka kwa mbaaalii
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Muhimu bwana wee
Aiseeohooo....basi tutabanana humohumo
sina mwingine mahabuba[emoji41] [emoji41] bas sawa nilikuwa napima tu nione kama ana mwingine
Yule Uliyekuwa nae kipindi kile kabla sijawa na wewe...au nisifukue makaburi??Ndio nani huyo mpenzi
Kwani Khantwe ana homa[emoji19] [emoji19] [emoji19]Aisee
Unakubali homa ya ini eeh
Hapana jamanii, ni venye ulifukua kaburi tuuKwani Khantwe ana homa[emoji19] [emoji19] [emoji19]
Achana na mambo ya kufukua makaburi babyYule Uliyekuwa nae kipindi kile kabla sijawa na wewe...au nisifukue makaburi??
anhaaaHapana jamanii, ni venye ulifukua kaburi tuu
usijali tuko pamoja babe...Achana na mambo ya kufukua makaburi baby
Tuache kuua wake zetu kwa utamu wa JF. Amekubali kuwa mche....maliziasio kweli mimi sina mke...vipi Kaboom ulimuacha ee
Hahahah hapa ni mapenzi ya kibodi kibodi kama enzi zile za utoto za kinguo nguo...Haya mambo ya ID fake. Ufakuja kuunganisha IDs kumbe wote jinsia moja
Yaani angenitambua Leo ana bahati amemtaja mtu mwingine anaemjua yeye na wala sio wewe swahiba wanguKabisa yaani, kumbe umeliona hilo eeh