Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
Hahahah noma ileHahahah hapa ni mapenzi ya kibodi kibodi kama enzi zile za utoto za kinguo nguo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah noma ileHahahah hapa ni mapenzi ya kibodi kibodi kama enzi zile za utoto za kinguo nguo...
Sakala sio SakayaSakaya ndio nani?!
Bora binti naempenda hajawekwa kwny hii list
Aaah! Vibaya hivyoHivi kumbe ni mie???!! Halafu Kati ya wanaume woooote JF kaona anipe huyoo ako na mke kila uzi??? Wacha nikufwe na utamu wangu mie kuliko kuletewa homa ya ini
Teh!Teh! Kweli lakiniHaya mambo ya ID fake. Ufakuja kuunganisha IDs kumbe wote jinsia moja
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Teh!Teh! Kweli lakini
[emoji23] [emoji23] [emoji23]DJ Sepetu ataniharibia dada angu, sitaki!!.....Mtu anachepuka na majimama huko halafu anakuja kutupia story nzima hapa ndo nini!![emoji53][emoji53][emoji53]
Naona naelekea kupata wifiMweee Joseverest kam zis wei kuna mtu kaamua kutufungisha ndoa huku
Kakaq tutambulushane basi, vipi mbn sikuhiziy golden huonekani??? Kulikoni[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji7] [emoji7] nipo hapa love
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125]nipo tayari dear saa yoyote ni wewe tu
DaahYaani angenitambua Leo ana bahati amemtaja mtu mwingine anaemjua yeye na wala sio wewe swahiba wangu
Vibaya kukubali homa ya ini huku naonaAaah! Vibaya hivyo
Vipi Sakaya! [emoji1]Mmmh
Mimi na Madame S [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wakuu,
Kwa tunavyoishi hapa JF, tunavyo interact, ni hakika, mawazo na michango ya mtu yanahakisi tabia yake.
Kwa hakika hata mtu akikukurupusha usingizini akuambie kama unachagua mtu wa kutengeneza naye couple, lazima kuna mdau hapa jf anakuvutia na unaweza kumtaja japo humjui.
Pia unaweza ukasema hapa JF, fulani na fulani wangetengeneza couple wangependeza mno.
Kwa mfano mimi kuna watu naona wangekua couple ingenoga sana.
Khantwe na Joseverest
Sky Eclat na Kichwa Kichafu
Dj Sepetu na Sakayo
Na nyingine nyingi.
Kwangu mimi leo ukiniambia nichague wa kutengeneza nae couple, ningemchagua huyu mwana dada wa kuitwa Emmyta.
Ni akina nani wengine unaodhani wakitengeneza couple zitanoga?
Ww ukiambiwa uchague wa kutengeneza nae couple hapa JF utamchagua nani?
heri yako ww umejitaja na unaeendana nae, wengine tunasubiri kutajwa aisee...Nami najimilikisha beef lasagna
Unaweza kujichagulia tuSakaya ndio nani?!
Bora binti naempenda hajawekwa kwny hii list
AkuVipi Sakaya! [emoji1]
Nkutajie wako jirani??!!!heri yako ww umejitaja na unaeendana nae, wengine tunasubiri kutajwa aisee...
MmhAku
Sio mie jirani..