Huo mguno veepe jirani, naona kaedit tayari!!!
Mr Miller na MoneytalkNitajie tu maana sijatajwa hadi dakika hii...
mchepukoTuache kuua wake zetu kwa utamu wa JF. Amekubali kuwa mche....malizia
Huyo ni wifi yako Dada....hahahaahKakaq tutambulushane basi, vipi mbn sikuhiziy golden huonekani??? Kulikoni
Ndo maana watu tunafeli mitihani na FaizaFoxy anatutukana kukicha. Umeambiwa malizia ukaandika neno zima (joke).mchepuko
Hahaha ulitaka niandike 'puko'Ndo maana watu tunafeli mitihani na FaizaFoxy anatutukana kukicha. Umeambiwa malizia ukaandika neno zima (joke).
Haha [emoji23]Hivi nipo ndotoni au uhalisia maana ukisikia mbuzi kufia kwa muuza supu ndio leo.
Kwako vipi na wewe upo ndotoni[emoji23]Haha [emoji23]
Naona uko ndotoni... Amka hebu
Safi hunnie, za wewe jamanVipi mpenzi
Mkuu basi mie utaniachia yule carbomazepineKwako vipi na wewe upo ndotoni[emoji23]
Mie ni live bhana ila nimekata rufaaKwako vipi na wewe upo ndotoni[emoji23]
Poa love.. Nimekupatia mtu babeSafi hunnie, za wewe jaman
UsiguneMmmh
JamaaniUsigune
Slim5 na ukhutyBasi nyuzi kama hii hamna wa kuntaja. Ila zile nyuzi za Magu ungeona nimeshaitwa hata mara 9!