Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Omo omo unataka nife mtoto wa mwanaume mwenzio?Khantwe ataniua kwa presha kuanzia leo huyo ni dada angu atakuita wifi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Omo omo unataka nife mtoto wa mwanaume mwenzio?Khantwe ataniua kwa presha kuanzia leo huyo ni dada angu atakuita wifi
Kako wapi?kababy kengine?
Daby huyoKako wapi?
Si ndio maana nimekwambia anatapatapa[emoji19] [emoji19] [emoji46] [emoji47] mbona amesema huwezi kumuacha?
Yaani kumbe ulichooandika kule hautanii kumbe... Maana nimesoma umemwandika Jose utamskiliza yeye tu.. Hapa nakuandikia kimstari kimoja umeshindwa kukielewaYa wapi tena
anhaaa sawa.....usije ukaniua kwa preshaSi ndio maana nimekwambia anatapatapa
Babe unanichanganya ujueYaani kumbe ulichooandika kule hautanii kumbe... Maana nimesoma umemwandika Jose utamskiliza yeye tu.. Hapa nakuandikia kimstari kimoja umeshindwa kukielewa
Kai kai
Please usife maana mimi pia sitaweza kuishianhaaa sawa.....usije ukaniua kwa presha
Fursa fursa mzeeJose haya bwana naona umetafutia pembamba umenikatia kamba.
Sasa hivi mke mkubwa ndiye atakayekuwa anatoa maamuzi ongea naye mkubaliane.Omo omo unataka nife mtoto wa mwanaume mwenzio?
huko kumuita Daby Baby vipiBabe unanichanganya ujue
HahaFursa fursa mzee
Tuko wangapi?Sasa hivi mke mkubwa ndiye atakayekuwa anatoa maamuzi ongea naye mkubaliane.
Ndio nani huyo mbona mimi hata simjui?
Tatizo unasikiliza sana maneno ya watu![]()
niambie ukweli usikute umetupanga foleni Love
si unajua lisemwalo lipoTatizo unasikiliza sana maneno ya watu
Wakati mwingine huwa hata halipo usiwaamini sana wahengasi unajua lisemwalo lipo