Kama hawa wangetengeneza couple hapa JF, zingenoga sana

Teh..halafu nimekumithi sana ujue
Kuna majukumu flani yamenikaba yananinyima nafasi, ndio vile nakosa muda wa walau kupata mawili matatu- ila nikitulia tutakutana kule kuleeeeeee kwa siku zote tunakokutana- ga mie, demi na MBITIYAZA [emoji1] [emoji1]
 
Poa usijali. Mi pia nimebanwa kimtindo. Ukipata nafasi karibu.
 
Back
Top Bottom