Kama hawa wangetengeneza couple hapa JF, zingenoga sana

Kama hawa wangetengeneza couple hapa JF, zingenoga sana

Hahahaa. Makombora yana wenyewe mdogo wangu ujue.

Ila nitajitahidi aisee.
Unajua kama huwezi kumshinda adui, japo kamkwara tu kanatosha kumpa stress hatimae ataogopa na kukuacha[emoji23] [emoji23]
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ivi siku ile ulikuwa unanichora!, si ulisema nimchukue Kapeace wewe umfaidi vizuri muosha naniliu.
Mbona mna nimix kama supu ya Mapupu hivi.

Aaaaagggghhhrrrr, sitaki bana simuachi Kapeace ng'oooo
Nilichowapa Wewe hukijui so tafuta vigagula tu humu[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom