Kama hawa wangetengeneza couple hapa JF, zingenoga sana

Kama hawa wangetengeneza couple hapa JF, zingenoga sana

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ivi siku ile ulikuwa unanichora!, si ulisema nimchukue Kapeace wewe umfaidi vizuri muosha naniliu.
Mbona mna nimix kama supu ya Mapupu hivi.

Aaaaagggghhhrrrr, sitaki bana simuachi Kapeace ng'oooo
Penye tamu huwa kuna vizingiti lukuki tukaze
 
Back
Top Bottom