Kama hawa Watanzania waliouawa nchini wangeuawa Gaza

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Kungekuwa na maandamano na matamko mengi sana ya FREE PALESTINA, lakini kwa kuwa wameuawa akina Abdallah na Frances ngozi nyeusi. Wala.... Utasikia tu amani amani.

Kule Gaza hatusikii wakiambiwa wapalestina kuwa watunze amani. Hatusikii. Sisi miafrika ni minyani kwa asilimia kubwa sana. Sababu kuuana sisi kwa sisi siyo shida. Nenda Somalia, Sudani,Nigeria na Congo. Husikiii free our black sisters and brothers.

Lakini auawe Mwarabu au Mzungu.... Hayo matamko na maandamano yake.... Ijumaa zote yatakuwa ni gumzo. Lakini wamekufa akina Dulla na Mudi hapa wala husikii issue. Wamekufa akina Yohana na Yakobo... Wala si issue.
 
Gaza tuliwaonya Hamas na tuliwalaumu kwa walichofanya , na tukawasii wawe na subra na wasitoke front dhidi ya Netanyahu ni Kichaa.

Sasa matokeo yake tumeona , huwezi kuwa na akili timamu ukatunisha misuli na mtu ambaye Kichaa amekuzidi uwezo na Hana huruma na wewe.

Hamas wamewaponza Raia wa Gaza , tulisikitika kwa yaliyowakuta na tukataka pande zote waweke silaha chini.
 
Unataka kusema nini? Lakini si tuliwashinda Mayahudi na wameishiwa nguvu kabisa. Wametepeta?
 
Back
Top Bottom