Kama haya ni ya kweli kuhusu NWO, basi hakuna aliye salama!

Kama haya ni ya kweli kuhusu NWO, basi hakuna aliye salama!

Kuhusu wao kuondoa watu kwa maradhi na hizo sumu hawawezi kamwe kwani hakuna neno katika vitabu vya dini zote kuwa katika mwisho wa dunia kutakuwa na watu wachache
Nadhani hiyo vitabu vyingeeleza kuwa ujio wa Yehova utakuta dunia ina watu wachache na ingeelezwa sababu ya kuwakuta watu wachache kufaham haya angalia jiwe linalo nolewa kisu na linalo sunguliwa miguu lipi limeuka umbile lake.
 
Haya mambo yanaweza kuwa na ukweli ila chumvi nyingi kuonesha hao jamaa wana nguvu kiasi hicho.
 
Inaonekana unaviamini sana vitabu vya dini
 
Mkuu usipende kutoa majibu rahisi kwa maswali magumu. Mfano rahisi, wewe unaijua paracetamol bila shaka, una uhakika gani kwamba paracetamol ni salama kwa afya yako? Aliyeitengeneza paracetamol unamjua? Aliyemfadhili izo pesa za kutengenezea unamjua?
C PCM tu drugs zote zina matatizo lakin la msingi kujiuliza hzo drugs ama HIV znaweza athiri population growth mpk dunia kuwa na idadi hio iliotajwa na hio documentary? Tujiulize tangu ukimwi kugundulika population imekua ikiongezeka ama ikipungua?tujiulize huku kwetu ukimwi ndio ugonjwa wenye mortality rate kubwa?au labda km wana mpango wa kuintroduce strain mpya ya hao HIV,kupunguza population ya dunia sio kitu rahis sana hvyo
 
Haya mambo yanaweza kuwa na ukweli ila chumvi nyingi kuonesha hao jamaa wana nguvu kiasi hicho.
Mkuu tatizo hawa jamaa wenyeww siku ukiona wamejiweka in public jua kila kitu tayar, ujio wao naweza kuufananish na nyangumi chini ya bahari. Hata ukiulizia leo ofisi zao hao jamaa ziko wapi sijui kama kuna anaejua. Ila tuyafikirie pia haya. Ingawa hata ukiyajua kunaweza kusiwapunguzie kitu ila at least uwe aware
 
Mkuu haya mambo nimeyafuatilia sana,nimekuja kugundua yanatiwa sana chumvi na maelezo kuhusu hawaa jamaa yanapingana sana kwa pande tofauti zinavyoelezea.
 
Tatizo letu wengi ni wavivu sana wa kufikiri na kutafta ukweli wa mambo, na hawa jamaa wanafanikiwa kwa kiasi kikubwa kwa kuwaaminisha watu tofauti na ukweli ulivyo. Ndo nyie mpaka leo mnaamini kuwa UKIMWI ni ugonjwa kauleta Mungu na hauna tiba
Sio kwamba tunaamin Mungu ndo kaleta ukimwi;tunajua watu wana clone hata alluen viruses ili tu kuintroduce strain mpya za wadudu pengine waendelee kupiga pesa kwe pharmacy industries lakn lazima tujiulize ni ugonjwa gan dunia ya leo unaoweza kufupisha maisha kwa kasi kuliko kasi ya watu kuzaliwa? Pia dunia ya sasa ni pana industry ya pharnacy ni kubwa sana ht km utaintroduce ugonjwa marekan dawa inaweza patikana japan&vice versa....mi kwa mtazamo wang ni ngum sana hio kitu labda itokee natural disaster
 
Ungetoa nakaushauri jinsi ya kufanya...mfano tusile chakula ,watoto wasichanjwe halafu uone measles(surua),polio vitakavyoteketeza watoto.
Ma babu zetu kabla ya wazungu kuja kututawala, walikua wanaishi vizuri, bila hayo yote... na waliishi miaka mingi sana. kwasasa ningum kuishi maisha ya mababu zetu. ila inawezekana
 
Ma babu zetu kabla ya wazungu kuja kututawala, walikua wanaishi vizuri, bila hayo yote... na waliishi miaka mingi sana. kwasasa ningum kuishi maisha ya mababu zetu. ila inawezekana
Kwa sasa kuna interraction sana za watu sidhani kama enz za mababu kulikua na hata na Ebola?
 
ngojea tuone itakavyo kua, kama watafanikiwa au la! maadam Mungu mwenye dunia yake yupo mi sina woga. langu ni kuzishika amri zake tuu.
 
Katika pitapita zangu nimekutana na documentary moja inayoelezea mantiki nzima ya New Word Order NWO, Kuna mengi yameelezewa lakini haya machache yamenifanya niamini kama ni kweli basi hakuna aliye salama tena.

1. Inasemekana mpango wa NWO unataka dunia yenye watu wasiozidi 500,000,000 duniani. Dunia kwa sasa ina watu wanaokadiriwa kufika bilioni 6, ili kubakisha idadi hiyo ya watu inabidi watu 5.5 bilion waondoke duniani.

2. Inasemekana mpango wa kuwaondoa hao watu duniani umeshaanza. Na njia kubwa inayotumika ni kupitia vyakula tunavyokula, vita, na magonjwa kama vile UKIMWI, Malaria, chanjo za utotoni n.k

3. Kilichonishtua zaidi ni kuhusu hizo chanjo za utotoni, inasemekana katika chanjo hizo kuna chemical imewekwa ambayo inapunguza life expectancy ya mtoto na kupunguza IQ yake. Bahati mbaya taasisi ambazo ndo wanatengeneza na kuidhinisha dawa hizo wamezishikilia wao.

4. Vyakula asilimia 98% tunavyokula ni generic modified, yaani ni vyakula ambavyo mbegu zake zimetengenezwa viwandani na wakadhibitisha kwamba vinafaa kwa matumizi yetu. Yaan hata ule mchicha unaopanda hapo nje kwako sio organic tena, mahindi nk vyote viko modified kwa interest zao.

Ni dhahiri kwa mwendo na speed hii, baada ya karne chache zijazo hao jamaa watakuwa wanaimiliki dunia na vyote vilivyomo.
Ni sawa, what are Africans for anyway! Wenyewe hatujithamini
 
Huo mpango wao Tanzania tutaukwamisha ngoja Dr Magufuli aweke mipango yao sawa uone jinsi atavyo wafurumusha
 
Huo mpango wao Tanzania tutaukwamisha ngoja Dr Magufuli aweke mipango yao sawa uone jinsi atavyo wafurumusha
Hahahahaaaaaa mkuu, Magufuli kwa hao jamaa kwanza hawahtaj hata kumjua, yaan in short hawez kuwa na impact yoyote kwenye plan zao. Unabisha? Kamuulze Gadafi nini kilimpata, kamuulize Mugabe nini kinaipata Zimbabwe, Kamuulze Kenedy wa marekani nini kilimpata.
 
Mkuu usipende kutoa majibu rahisi kwa maswali magumu. Mfano rahisi, wewe unaijua paracetamol bila shaka, una uhakika gani kwamba paracetamol ni salama kwa afya yako? Aliyeitengeneza paracetamol unamjua? Aliyemfadhili izo pesa za kutengenezea unamjua?
Mfadhili ni nani?
 
Back
Top Bottom