Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Najua kuna wanaCHADEMA kindakindaki ambao kwao mwamba ni kama masihi wao wa kisiasa hapa Bongo. Tokea anigi'nie nyavuni wamekuwa wapole sana. Maana walidhani kuwa Sabaya kwenda lupando basi furaha yao ndio imejaa pomoni.
Kwa sasa sakata la Sabaya kupandishwa kizimbani hawataki kusikia tena. Maana wametambua kumbe haya mambo hayataki hasira.
Turudi kwenye hoja kuu, key witness kwenye kesi ya Sabaya anadai kuwa Sabaya alimjibu kuwa ametumwa na hayati Magufuli ili kudhibiti wahujumu uchumi. Shahidi huyu anamaliza kusema kuwa baada ya kujibiwa alipata kigipo kisha kuporwa laki tatu na ushee.
Kama kweli Sabaya alitumwa na Hayati JPM kwenda kudhibiti wahujumu uchumi, je kwa hii scenario hapa kuna ujambazi au kuna matumizi mabaya ya ofisi?
My take: Jamhuri kwenda mahakamani bila kujipanga na kuandaa mashitaka kama haya ni fedheha kwa taifa letu.