Kama hayati Magufuli alimtuma Ole Sabaya kudhibiti wahujumu uchumi, Je huu ulikuwa ujambazi au matumizi mabaya ya ofisi?

Boss wake alijua KILA kitu kuhusu huyu mtumishi wake mwaminifu,alimuita akamuuliza akakiri kwamba anafanya Yale kupata pesa za kumsambaratisha Mbowe aliposikia yote Yale lengo ni kumsambaratisha akampa baraka tele na kumwambia ewe mtumishi mwaminifu endelea.Leo wote wamesambaratishwa hawapo tena.
Hakuna aliyewahi cheza na Mbowe akabaki salama.
 
Nani mwenye uhakika kama alitumwa? Hata kama alitumwa haimuondolei jinai aliyotenda,SABAYA HATOBOI....Hamuoni kwamba hiyo KUTUMWA ndio itakuwa kichaka kwa watumishi wa serikali?
 
Ngoja tuone.
 
Mmmmmmmmm labda uporwe wewe ndio utaona ujambazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…