Kuna kila dalili za Mbowe kuutaka uenyekiti wa CHADEMA kwa mara nyingine ya nne mfululizo.
Kuna kila dalili za hawa vijana kukatishwa tamaa na kaliba hii ya Bwana Mbowe kung'ang'ania madaraka hata kama hawasemi,
Survivo ya CHADEMA kwa Sasa ni Mbowe kupisha kiti whether anataka au hataki, ameahidiwa au ameahidi ni lazima apishe sura mpya itakayoweza kuaminika kirahisi kwa Umma.
Hata Lipumba alishauriwa mara kadhaa kukiachia chama kikiwa Walau ICU lakini aligoma mpaka leo kimefika Kaburini ndio ameamua kukiachia baada ya kuona hata wale waliokuwa wanamwambia usiachie chama kitakufa kuacha hata kupokea simu zake baada ya kuhakikisha ni kweli CUF imekwisha kabisa kabisa.
Kila chenye mwanzo hakika kina mwisho Mbowe wa CHADEMA Leo hana mvuto hata kuvuta watoto wa shule achilia mbali wapigakura.
Siku Mbowe anakuwa Mwenyekiti kwa mara ya tano ndio siku ambayo Heche, Lissu, Lemma, Mnyika , Suzan Chiwanga wataiaga CHADEMA.
Soma Pia: Huenda chama kipya cha Lissu kikasheheni watu waadilifu kama Dkt. Slaa, Prof. Safari, Mnyika, Heche, Wenje na wale wote waliotoka CHADEMA kwa figisu
Hii inaitwa Win Win,