Tetesi: Kama Heche na Lissu wataondoka CHADEMA sioni Mnyika, Suzan Kiwanga au Lemma wakisalia huko. Ni suala la muda tu

Kuna kila dalili za Mbowe kuutaka uenyekiti wa CHADEMA kwa mara nyingine ya nne mfululizo.

Kuna kila dalili za hawa vijana kukatishwa tamaa na kaliba hii ya Bwana Mbowe kung'ang'ania madaraka hata kama hawasemi,

Survivo ya CHADEMA kwa Sasa ni Mbowe kupisha kiti whether anataka au hataki, ameahidiwa au ameahidi ni lazima apishe sura mpya itakayoweza kuaminika kirahisi kwa Umma.

Hata Lipumba alishauriwa mara kadhaa kukiachia chama kikiwa Walau ICU lakini aligoma mpaka leo kimefika Kaburini ndio ameamua kukiachia baada ya kuona hata wale waliokuwa wanamwambia usiachie chama kitakufa kuacha hata kupokea simu zake baada ya kuhakikisha ni kweli CUF imekwisha kabisa kabisa.

Kila chenye mwanzo hakika kina mwisho Mbowe wa CHADEMA Leo hana mvuto hata kuvuta watoto wa shule achilia mbali wapigakura.

Siku Mbowe anakuwa Mwenyekiti kwa mara ya tano ndio siku ambayo Heche, Lissu, Lemma, Mnyika , Suzan Chiwanga wataiaga CHADEMA.

Hii inaitwa Win Win,
Joined June 2024, komaa kwanza ndio ulete uzushi
 
Naamini chadema inaweza kuimarika sana baadhi ya watu wakiondoka. Chadema imepotezewa mvuto na baadhi ya viongozi wake wa juu sijui kama hili wanalijua. Kuna watu hata wakihama chadema wakaenda chama kingine hawawezi kurudisha mvuto wao wa awali ila chadema ikifanya usajili wa watu makini kutoka vyama vingine hasa wenye muelekeo wa kizalendo na kuacha kumshambulia JPM pale wanapopata wasaa wakupanda jukwaani wanaweza kuwa na mvuto mkubwa na kuwawin watanzania wengi ambao mpaka sasa wamepoteza imani na vyama vya siasa.
 
Kuna kila dalili za Mbowe kuutaka uenyekiti wa CHADEMA kwa mara nyingine ya nne mfululizo.

Kuna kila dalili za hawa vijana kukatishwa tamaa na kaliba hii ya Bwana Mbowe kung'ang'ania madaraka hata kama hawasemi,

Survivo ya CHADEMA kwa Sasa ni Mbowe kupisha kiti whether anataka au hataki, ameahidiwa au ameahidi ni lazima apishe sura mpya itakayoweza kuaminika kirahisi kwa Umma.

Hata Lipumba alishauriwa mara kadhaa kukiachia chama kikiwa Walau ICU lakini aligoma mpaka leo kimefika Kaburini ndio ameamua kukiachia baada ya kuona hata wale waliokuwa wanamwambia usiachie chama kitakufa kuacha hata kupokea simu zake baada ya kuhakikisha ni kweli CUF imekwisha kabisa kabisa.

Kila chenye mwanzo hakika kina mwisho Mbowe wa CHADEMA Leo hana mvuto hata kuvuta watoto wa shule achilia mbali wapigakura.

Siku Mbowe anakuwa Mwenyekiti kwa mara ya tano ndio siku ambayo Heche, Lissu, Lemma, Mnyika , Suzan Chiwanga wataiaga CHADEMA.

Hii inaitwa Win Win,
Kufa usiku kama unaona umezibwa pua! Kwani nyumbani kwenu baba alishabadilishwa?
 
The same old shit...

But, put this in your head....

CHADEMA ipo na Freeman Mbowe ndiye mwenyekiti taifa ktk awamu inayokuja whether you like it or not...!!
 
Kuna kila dalili za Mbowe kuutaka uenyekiti wa CHADEMA kwa mara nyingine ya nne mfululizo.

Kuna kila dalili za hawa vijana kukatishwa tamaa na kaliba hii ya Bwana Mbowe kung'ang'ania madaraka hata kama hawasemi,

Survivo ya CHADEMA kwa Sasa ni Mbowe kupisha kiti whether anataka au hataki, ameahidiwa au ameahidi ni lazima apishe sura mpya itakayoweza kuaminika kirahisi kwa Umma.

Hata Lipumba alishauriwa mara kadhaa kukiachia chama kikiwa Walau ICU lakini aligoma mpaka leo kimefika Kaburini ndio ameamua kukiachia baada ya kuona hata wale waliokuwa wanamwambia usiachie chama kitakufa kuacha hata kupokea simu zake baada ya kuhakikisha ni kweli CUF imekwisha kabisa kabisa.

Kila chenye mwanzo hakika kina mwisho Mbowe wa CHADEMA Leo hana mvuto hata kuvuta watoto wa shule achilia mbali wapigakura.

Siku Mbowe anakuwa Mwenyekiti kwa mara ya tano ndio siku ambayo Heche, Lissu, Lemma, Mnyika , Suzan Chiwanga wataiaga CHADEMA.

Hii inaitwa Win Win,
Chadema irapoteza Atapotoza wanachama na washabiki wengi sana
Mbowe okoa chama kisife nakisikifie

Makubaliano yenu na samia tupa kule
 
andika chochote kuhusu John cheyo na hashimu rungwe spunda ilin uweze ku balance story yako siyo kila siku mbowe mbowe mbowe. hivi mbowe ndiyo mwenyekiti pekee wa chama cha siasa hapa nchini?
Awapishe na wengine, acha kumtetea anahubir demokrasia huku yeye kanga'ng'ana na Uenyekiti
 
View attachment 3087946
NAOMBA MAJIBU:-
1. Mbowe anachapisha fomu moja ya kugombea?
2. Mbowe anaunda kamati ya kusimamia uchaguzi?
3. Mbowe anakuja na wapiga kura wake?
4. Mbowe anahesabu kura mwenyewe?
5. Sisi wana CCM kama tunaona MBOWE ataharibu chama, kwanini tusimuache na kumuunga mkono ili aendele kuharibu?
6. Chama tawala wamesema wanachapisha fomu moja, mbona hamtoi milio kupinga ?
Wewe sio Jaji Mfawidhi tena bali wafaa kuwa Jaji mkuu kabisa.
"Mbowe anaharibu Chadema" sasa kwa nini CCM ndio wanachukia badala wamuunde mkono ili akimalize kabisa?
Huko kwa Chadema wameweka uwazi yeyote achukue fomu kugombea uchaguzi ulio wazi, ndani ya CCM wao wanachapisha fomu moja na hakuna kutoa foto copy hilo hawalalamiki hiyo akili inaitwaje kwa kimakonde?
Nina mashaka na rangi ya kijani pengine ina athari na mionzi ikikumulika na kuharibu ubongo.
Umewapa za uso lakini kuelewa aaah!
 
Chadema irapoteza Atapotoza wanachama na washabiki wengi sana
Mbowe okoa chama kisife nakisikifie

Makubaliano yenu na samia tupa kule
Hivi Chadema ipi inayopoteza wafuasi mbayoizungumzia nyie? Jii hii ambayo sasa hata wafuasi wake kina mama hawana woga na vitisho vya polisi? Wala kutekwa?
Wewe kama huitaki nenda huko CCM kwa viazi wenzako, mtumwa ni mtumwa tuu maana hata wakati wa mwarabu Tip tipu wapo waliopewa nafasi ya uhuru waondoke na wakakataa na kubaki utumwani.
 
Attachments

  • e1hFX1EXKJQoD7IL.mp4
    4.7 MB
Kuna kila dalili za Mbowe kuutaka uenyekiti wa CHADEMA kwa mara nyingine ya nne mfululizo.

Kuna kila dalili za hawa vijana kukatishwa tamaa na kaliba hii ya Bwana Mbowe kung'ang'ania madaraka hata kama hawasemi,

Survivo ya CHADEMA kwa Sasa ni Mbowe kupisha kiti whether anataka au hataki, ameahidiwa au ameahidi ni lazima apishe sura mpya itakayoweza kuaminika kirahisi kwa Umma.

Hata Lipumba alishauriwa mara kadhaa kukiachia chama kikiwa Walau ICU lakini aligoma mpaka leo kimefika Kaburini ndio ameamua kukiachia baada ya kuona hata wale waliokuwa wanamwambia usiachie chama kitakufa kuacha hata kupokea simu zake baada ya kuhakikisha ni kweli CUF imekwisha kabisa kabisa.

Kila chenye mwanzo hakika kina mwisho Mbowe wa CHADEMA Leo hana mvuto hata kuvuta watoto wa shule achilia mbali wapigakura.

Siku Mbowe anakuwa Mwenyekiti kwa mara ya tano ndio siku ambayo Heche, Lissu, Lemma, Mnyika , Suzan Chiwanga wataiaga CHADEMA.

Soma Pia: Huenda chama kipya cha Lissu kikasheheni watu waadilifu kama Dkt. Slaa, Prof. Safari, Mnyika, Heche, Wenje na wale wote waliotoka CHADEMA kwa figisu

Hii inaitwa Win Win,
Survival ya Chadema na Chama chochote cha Siasa au hata Klabu za mpira ni kuwa na mtu kwanza kabisa mwenye uwezo wa PESA! Pili awe na exposure ya mambo mengi yanayoendelea katika Nchi na Duniani kwa Ujumla kuhusu Siasa na Uchumi !

Je leo unaisikia CUF ??!
Bila Pesa hamna Chama cha Siasa wala Chama cha Mpira !!
Chukua hiyo Ndugu 😳🙌👍
 
Kuna kila dalili za Mbowe kuutaka uenyekiti wa CHADEMA kwa mara nyingine ya nne mfululizo.

Kuna kila dalili za hawa vijana kukatishwa tamaa na kaliba hii ya Bwana Mbowe kung'ang'ania madaraka hata kama hawasemi,

Survivo ya CHADEMA kwa Sasa ni Mbowe kupisha kiti whether anataka au hataki, ameahidiwa au ameahidi ni lazima apishe sura mpya itakayoweza kuaminika kirahisi kwa Umma.

Hata Lipumba alishauriwa mara kadhaa kukiachia chama kikiwa Walau ICU lakini aligoma mpaka leo kimefika Kaburini ndio ameamua kukiachia baada ya kuona hata wale waliokuwa wanamwambia usiachie chama kitakufa kuacha hata kupokea simu zake baada ya kuhakikisha ni kweli CUF imekwisha kabisa kabisa.

Kila chenye mwanzo hakika kina mwisho Mbowe wa CHADEMA Leo hana mvuto hata kuvuta watoto wa shule achilia mbali wapigakura.

Siku Mbowe anakuwa Mwenyekiti kwa mara ya tano ndio siku ambayo Heche, Lissu, Lemma, Mnyika , Suzan Chiwanga wataiaga CHADEMA.

Soma Pia: Huenda chama kipya cha Lissu kikasheheni watu waadilifu kama Dkt. Slaa, Prof. Safari, Mnyika, Heche, Wenje na wale wote waliotoka CHADEMA kwa figisu

Hii inaitwa Win Win,
Mumeo amekula lakini?
 
Kukosa weledi ni kuongea mambo yasiyo na kigezo chochote:

1) Unasema kama Lisu akiondoka CHADEMA, Lisu alikuambia kuwa anataka kuonfoka CHADEMA? Si alishasema kuwa yeye ana aakili timamu, hivyo hawezi kwenda CCM (ambako kwa kadiri ya utafiti TWAWEZA, ndiko walikojazana wajinga).

2) Unasema kuna dalili za Mnyika, n.k. kukatishwa tamaa, hizo dalili ni zipi? Au unaongea unayoyataka yawe halafu unasema ni dalili. Jifunzeni namna ya kujenga hoja. Weka hizo dalili, halafu watu wajadili hizo dalili unazoziana kama ni halisia au ndoto zako za leo.

3) Mtu anasema eti CHADEMA haina mvuto, wakati mikutano ya viongozi wa kanda na mikoa ya CHADEMA, kwa baadhi ya maeneo imehudhuriwa na wananchi wengi kuliko mikutano ya katibu mwenezi wa CCM Taifa. Sasa huo mvuto unaupima kwa njia gani? Au kwa ndoto zako?

4) Kama unataka Mbowe asigombee, weka kama maoni yake ukitoa sababu za hayo maoni au ushauri wako.

Hii ni riwaya ndefu but no content.
Rudi ukajfunze namna ya kujenga hoja halafu kama utakuwa na kitu, kilete ili watu wakijadili, lakini siyo hizi hadithi za namna hii.

This one is gabbage.
 
Daaah
 
Mbowe ni kiongozi wa chama kikuu Cha Upinzani!! Huwezi linganisha na Vyama vingine.
So ni sahihi Mbowe na CHADEMA kuangaziwa Kwa ukubwa wake.

Kubali mabadiliko Bwashee
Hamumtaki kwa sababu hanunuliki? Angekuwa ananunulika CHADEMA kingekuwa pale ilipo CUF au NCCR-Mageuzi.
 
Back
Top Bottom