stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
Kwa wale ambao ela yao ni baada ya kazi basi ni ngumu sana kufanya maisha pemben
Kiuhalisia inatakiwa uwe mwekezaji alafu nusu mfanya kazi! bila ivo utakua unaona video tafauti za uumbaji wa dunia na kuishia kulike badala ya kupata mda wa kwenda