Kwa rasilimali zilizopo tusingekuwa na wachumia tumbo Africa kila mtu angekua na maisha Bora, umaskini african ni zao la sera mbovu , uchumia tumbo wa watu waliojitwalia dhamna ya kiuongozi ki mabavusasa wewe kila kitu kulaumu serikali, wewe wajibu wako upo wap
maisha mazuri na hauna value umeleta ndan ya nchi? huo uchumi ama unazungusha makaratasiKwa rasilimali zilizopo tusingekuwa na wachumia tumbo Africa kila mtu angekua na maisha Bora, umaskini african ni zao la sera mbovu , uchumia tumbo wa watu waliojitwalia dhamna ki mabavu
Maisha mazuri yapo kwenye cycle ya watu wachache waliojimilikisha kila aina ya rasilimali , tofauti na hapo uwe chawa uokoteze makombo miguuni kwao na wewe ukatambe mbele maskini wenzakomaisha mazuri na hauna value umeleta ndan ya nchi? huo uchumi ama unazungusha makaratasi
mawazo mabovu, kila nchi matajiri hua wachache, je na wao ni chawa?Maisha mazuri yapo kwenye cycle ya watu wachache waliojimilikisha kila aina ya rasilimali , tofauti na hapo uwe chawa uokoteze makombo miguuni kwao na wewe ukatambe mbele maskini wenzako
Ukute najadili jambo na chawa wa kijani? Nitakua nimejikosea sana , nihakikishie Hilo tuendelee na mjadalamawazo mabovu, kila nchi matajiri hua wachache, je na wao ni chawa?
Umeandika uharo. Peleka liuzi lako huko kwa Abduli.Kwa wale ambao ela yao ni baada ya kazi basi ni ngumu sana kufanya maisha pemben, kiuhalisia inatakiwa uwe mwekezaji alafu nusu mfanya kazi! bila ivo utakua unaona video tafauti za uumbaji wa dunia na kuishia kulike badala ya kupata mda wa kwenda
Usinipangie namna ya kufanya KIAZI mmoja wewekama huna hoja sepa zako
Maneno ya kina Ashura haya ,Nipo ghetto panda boda uje nitalipaunaumia ukiwa wap