Kama hewa itatoka katika eneo lililo na uwazi, je ni kitu gani huzuia hewa isitoke nje ya uso wa dunia?

Nimeuliza ni kipimo gani hutumika kupima huo mkandamizo lakini hakuna aliyenipa jibu, wote wanasema Gravity Gravity Gravity.........
 
Nafanya ninachotaka kufanya, kama wewe unaona ninalofanya halina maana, ni vyema ukaendelea kufanya yako ambayo yana maana.

Pia nilikuwa naamini kama wewe, lakini saivi nimezinduka usingizini
 
Basi kwanini ukispray perfume au ushuzi hausambai dunia nzima?
Kama una jibu la hili swali basi mada imeishia hapo
 
Huo mkandamizo hauathiriki na mzunguko mkali wa dunia? Huo mkandamizo unazuia hewa tu isifike mbali?

Vipi kuhusu vyombo au vifaa ambavyo vinarushwa angani, haviathiriki na huo mkandamizo?
 
Basi kwanini ukispray perfume au ushuzi hausambai dunia nzima?
Kama una jibu la hili swali basi mada imeishia hapo
Hiyo ni sawa na kumwaga mchanga kikombe kimoja kwa lengo la kuchafua bahari nzima.
 
Chini ya dunia ni wapi huko? Bila kulielewa swali, haiwezekani kujibu kwa usahihi.
Kwa mujibu wa hiyo sayansi yenu, chini au katikati ya dunia kuna kitu kinaitwa ' inner core' yani kiini cha dunia, kuna joto na mvutano mkali...

Shimo kubwa kuwahi kuchimbwa kwenda chini lilikuwa na urefu wa only 7.6 miles deep...

SWALI: hawa wanasayansi waliwezaje kupima na kujua katikati ya dunia kuna nini endapo hakuna shimo au nafasi ambayo iliwahi kuchimbwa kuzidi hiyo ya ambayo nimeitaja hapo juu?
 
Hiyo ni sawa na kumwaga mchanga kikombe kimoja kwa lengo la kuchafua bahari nzima.
Hili jibu ni sahihi
Dunia ni kubwa sana kwetu sisi lakini katika mfumo wa sayari na anga za mbali dunia ni sawa tu na kikombe cha mchanga baharini kama ulivyosema hapo
Mazingira ya dunia ndiyo sources ya kuzalisha oxygen kwa hiyo husambaa kadiri ya nguvu yake na uwezo wake unapoishia na ukienda zaidi kuna mazingira mengine yanayosababisha uzalishaji mwingine wa hewa
 
Kwanini kunakuwa na upepo mkali? Hiyo ni ishara ya mkandamizo mkali au pressure, kitu ambacho ili kutokea ni lazima kuwe na mwanzo na mwisho wa vizuizi ambayo husababisha mkandamizo huo kwa ndani.
 
Ni kani mvutano,hiyo ndio maana yake inajieleza katika tafsiri
Sijasema definition yake. Maana na mawanda yake inayajua?

You're clearly suffering from CLBSF - critical lack of basic scientific facts.
 
Unaposema chini au katikati ya dunia, una maana gani?

Mwenzio niliyemuuza bila shaka alimaanisha upande wa pili, aliposema chini ya dunia.

Ni kama kusema mtu mmoja yuko ncha ya kaskazini, hivyo chini yake ni ncha ya kusini.

Ndiyo maana nikamtaka afafanue.

Na wewe hapa umeuliza swali lenye mkanganyiko uleule kama wake.

Maelezo yanahitajika hapo.
 
Kwaiyo huamini kama kuna kitu kinaitwa 'inner core?
 
Kwani akina mewton na eisten walisoma physics wapi wakagundua waliyogundua ?

Kama wao waliweza kufikiria na kugundua hayo bila kusoma phsyics darasani kwa nini unawawekea ukomo watu wengine kuyaelewa haya mambo na kwamba lazima wakasome miaka darasani .
 
Hapa hatuongelei magnetic attraction mzee tunaongelea gravity
Inahitaji uwe unakumbka mambo ya circular motion na rotational Dynamics
Maneno mengi ya kiohysics lakini logic hakuna kitu.

Unadhani hayo maneno mnayoyaleta hapa yatamaliza mjadala huru kama huu mkuu ?

Haya bhana
 
Sijasema definition yake. Maana na mawanda yake inayajua?

You're clearly suffering from CLBSF - critical lack of basic scientific facts.
Tetea hoja yako usitake maelezo kutoka kwangu,mimi nimeshakujibu hata kama haujaridhika wewe ndio utoe jibu litakalokuridhisha usisubiri nikuridhishe mimi

Elezea ni nini gravity then kutoka kwenye maelezo yako sasa ndio uangalie nitatoka na hoja gani,sio unaniuliza mimi kuhusu kitu hicho nikikujibu bado hauridhiki na hiyo inaonesha una majibu yako mfukoni.
 
Sasa kama Newtown aligundua hiyo gravitational force inayo support kwamba Dunia ni umbo kama la mpira na mnakataa kwamba tunakaritishwa ilihali hayo yenyewe yaliwasinda πŸ˜‚πŸ˜‚ unataka ugundue nn na hayo yalishagunduluwa tayari πŸ˜‚πŸ˜‚
Kilichobaki ni kutumia huo ugunduzi kwa ajil ya maendeleo kubishana kuliishia miaka ya 1800s
 
Ulitakiwa uelewe gravity ukiwa form one mwisho form two kama ilikupita hapo sahau kuijua tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Acha kusumbua watu hapa mkuu,hutopata majibu ya kueleweka,Swali lako hilo liweke Kwa Lugha ya Kiingereza halafu uingie Google utapata majibu ya uhakika na Utaridhika
Si kweli kwamba hawezi kupata majibu ya kueleweka. Anaweza kuoata majibu sahihi ila akashindwa kuyaelewa kutokana na level yake maarifa aliyonayo juu ya kile anachokitafuta.
Google kote nimepita na bado sijaona hoja yenye mashiko, naamini hapa nitapata mawazo au maoni tofauti.
Bado haujajua Google utafyte nini..huko kuna mkusanyiko mwingi wa taarifa instegemea unaandikaje ili upate unachokitaka.


Majibu yako:
Sababu zinazofanya hewa isitoke nje.
Kumbuka kuwa hewa ni gesious state.

1. Density
Hewa katika anga imekaa zimejipanga katika layers kutokana na density zake.

2. CORIOLIS FORCE AND EFFECT
Dunia ipo katika mzunguko (rotation) na umbo la dunia ni oblate sphere. Hewa around the globe inakwenda clockwise katika ncha ya kaskazini na kinyumbe chake katika ncha ya kusini. Kadri dunia inavyozunguka hulazmisha gesi iliyokaribu zaidi na dunia kufanya mizunguko hyo niliyoeleza hapo juu ya clockwise na counterclockwise kutoka katika poles kushuka katika equator.

Hewa katika mweendo hutegemea vitu vingi mojawapo ni hivi.
a) Mgandamizo ambapo husukuwa kueleka kwenye mgandamizo mdogo.
b) External force. Inaweza kufanya hewa kuwa katika mwendo. Coriolis force. Jifanyie majaribio kwa kukaa sehemu tulivu kisha zungusha mkono wako kwa nguvu. Utakuwa unforced kutengeneza mwendo wa hewa.

3. Shape of the globe.
Katika ikweta dunia huzunguka kwa kazi zaidi kuliko katika ncha za kusini na kaskazini. Hufanya kuvuta hewa iliyozunguka dunia by force kuvuta kuelekea kwenye globe. Sehemu yenye mzunguko wa kasi zaidi itakuwa na pressure kubwa zaidi. (Jifanyie practice kwa kukaa kando ya barabara na gari kubwa ipite kwa kasi karibu yako. Utavutwa barabarani)

4. Centrifigure force. (Ukasome mwenyewe ndio mana nikasema yawezekana haufahamu unachokitafuta. Husisha centrifigure theory and air mass/atmospheric pressure)


Naamini utakuwa umeelewa. Kama sio kupata mwangaza.
 

Attachments

  • coriolis firce.jpg
    32 KB · Views: 2
  • coriolis effect.jpg
    40.5 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…