Kama hewa itatoka katika eneo lililo na uwazi, je ni kitu gani huzuia hewa isitoke nje ya uso wa dunia?

Maneno mengi ya kiohysics lakini logic hakuna kitu.

Unadhani hayo maneno mnayoyaleta hapa yatamaliza mjadala huru kama huu mkuu ?

Haya bhana
Hiyo ndo misingi sasa ya mjadala maana ake kama huelewi hivyo vitu hutakaa uelewe tafta kazi nyingine ya kufanya 😂😂
 
Inataka imani kuelewa haya melezo.

Hayaingii akilini.

Nadhani hizi sayansi nazo ni IMANI kama zile za kidini,maelezo mengi lakini facts hakuna.

Mtu akitaka facts anarudishwa kwenye maelezo hayo hayo ambayo facts hayana.😁
 
Aliyegundua gravity aligundua akiwa form ngapi ?
😂😂😂 🙌🙌 Haya na ww kagundue Dunia yako iliyokaa kama CD 😂😂😂
Na mm ngoja nikagundue ya kwangu iliyokaa kama beseni 😂😂
 
Inataka imani kuelewa haya melezo.

Hayaingii akilini.

Nadhani hizi sayansi nazo ni IMANI kama zile za kidini,maelezo mengi lakini facts hakuna.

Mtu akitaka facts anarudishwa kwenye maelezo hayo hayo ambayo facts hayana.😁
Ukiweza kujibu maswali niliyouliza jana ungekuwa na majibu sa iz
 
😂😂😂 🙌🙌 Haya na ww kagundue Dunia yako iliyokaa kama CD 😂😂😂
Na mm ngoja nikagundue ya kwangu iliyokaa kama beseni 😂😂
Huna hoja na majibu ya msingi zaidi ya vicheko tu
 
Nikikaa barabarani lazima nitahisi navutwa endapo gari litapita karibu yangu, na hiyo ipo proved bila shaka.

Je, umeshawahi kuhisi au kuona namna ambavyo dunia inazunguka kwa kasi na kuvuta hewa upande wa globe?

Ni vipimo au namna gani hutumika kugundua na kushuhudia huo mzunguko na uvutwaji wa hewa? Nani aliwahi kuona hicho kitu?
 
Ni kwa sababu mnachekesha hujui hata maana ya gravity halafu unahoji kuhusu gravity ni bora ukajifunze Kwanza hiyo gravity ndo utaelewa
Maana ya Gravity ni mkusanyiko wa maneno tu, nataka uthibitishe uwepo wa hiyo Gravity kwa kunipa mifano hai na sio kusema ukirusha jiwe juu linarudi
 
Theories huwa verified kwa vitu vinavyoonekana kutoka vitu vidogo kwenda kubwa kama mazingira ni costant theories inaapply the same. Kama unakubali kuwa unaweza kuvutwa kutokana na kasi nsivyo apply kwenye dunia ingawa huwezi kukaa juu ya dunia kama umepands juu ya mpira uangalie upepo unavyovutwa.
Ila uthibitisho wake ni kutoka na effect inayoonekana katika dunia kama kuwa na Airmass flows.
 
Upepo unatokana na pressure au mkandamizo na sio mzunguko wa dunia.

Juu ya uso wa dunia kuna mkandamizo wa hewa ambao husababishwa na joto katika baadhi ya maeneo, hivyo hewa inahama upande mmoja kwenda kwengine kwa kasi kubwa.
 
Ukweli ni nini? Utaujuaje huu ukweli na huu uongo?
Kwa kufanya tafiti binafsi na kutumia akili za asili, pasipo kuhusisha nadharia ambazo nimefundishwa bila kupewa nafasi ya kuhoji.
 
Kwa kufanya tafiti binafsi na kutumia akili za asili, pasipo kuhusisha nadharia ambazo nimefundishwa bila kupewa nafasi ya kuhoji.
Hayo yote hayakuzuii kukubali uongo kama ukweli.

Na pengine, mambo kama "kufanya tafiti binafsi" yanakuongezea nafasi ya kukubali uongo kama ukweli.

Unaelewa hilo?
 
pengine, mambo kama "kufanya tafiti binafsi" yanakuongezea nafasi ya kukubali uongo kama ukweli.

Unaelewa hilo?
Hilo silielewi, ninacho kifanya ni kurudia upya kudadisi kuhusu mambo ambayo nilifundishwa bila kupewa nafasi ya kuhoji.
 
Kwa mujibu wa NASA, dunia haipo closed, viumbe na vitu vyote vipo nje ya uso wa dunia,dunia inaelea katika space ambayo ipo wazi pande zote na haina mwisho.

Je, inakuwaje mpaka duniani panakuwa na mgandamizo wa hewa wakati pande zote zipo wazi?

Hewa pia iliyo juu ya uso wa dunia kama fluid yeyote na yenyewe inaelea juu ya uso wa dunia na ipo katika layers kutegemeana na tungamo (density) la aina ya hewa mathalani Nitrogen, Oxygen, Helium, Hydrogen n.k...

Juu ya uso wa dunia, kila kitu huvutwa kuelekea kitovu cha dunia (gravity), hivyo hata hewa kuvitwa na kani hiyo na ndio maana haipotei kwenye space...
 
Juu ya uso wa dunia, kila kitu huvutwa kuelekea kitovu cha dunia (gravity), hivyo hata hewa kuvitwa na kani hiyo na ndio maana haipotei kwenye space...
Kama kila kitu kinavutwa kuelekea chini, kwanini angani tunaona ndege wanaruka?

Juu ya uso wa dunia ni kama meza, ukiweka sahani juu yake inatulia na haielei kwenda juu, hiyo ni kutokana na uzito wa sahani na uwepo wa sehemu ambayo sahani hiyo imetulia

Simple logic......
 
Nyie watu wa arts mnasumbua kweli....so wewe unaona nimeuliza swali...

Ndugu ,ndege haielei yenyewe bali inatumia engine na mabawa kuzalisha force itakayo kinzana na Gravity....

Hata ndege kiumbe hutumika mabawa yake kuzalisha kinetic force ya kulingana na gravity....
 
Acha kusumbua watu hapa mkuu,hutopata majibu ya kueleweka,Swali lako hilo liweke Kwa Lugha ya Kiingereza halafu uingie Google utapata majibu ya uhakika na Utaridhika
Majibu ameshapewa tayari ila anaendeleza ligi tu.
Ukienda juu kuvuka mawingu kuna mgandamizo(pressure) inayosababisha hewa isiende juu ya anga bali huishia chini ya anga ndio maana wanasayansi wakienda huko lazima wabebe vifaa maalumu vya kuwawezesha kupumua.
Hata unapopanda ndege ikiwa angani lazima kuwe na hewa iliyoandaliwa kwa ajili ya abiria kupumua ndani ya ndege ikikata hiyo hutaweza kupumua ukiwa anga za juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…