Copro mtego
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 619
- 796
Basi hiyo ni packaging kama wanavofunga maji ya uhai kwenye chupa zakeSijui itakwenda wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi hiyo ni packaging kama wanavofunga maji ya uhai kwenye chupa zakeSijui itakwenda wapi
Na hiyo ndiyo asili ya hewa, lazima iwe katika eneo ambalo halina nafasi ya kutoka, kuhusu kutunza au kusafirisha, hiyo ni kwaajili ya matumizi mengine tuMitungi ya gesi hutumiwa kwa sababu kadhaa, hata kama mgandamizo wa hewa hautegemei eneo lililofungwa. Sababu hizi ni pamoja na:
1. Uhifadhi wa Gesi kwa Wingi: Mitungi ya gesi inaruhusu uhifadhi wa kiasi kikubwa cha gesi kwenye eneo dogo kwa kuibana (compress) kwa shinikizo la juu. Hii ni muhimu kwa matumizi mbalimbali ambapo gesi inahitajika kwa wingi lakini nafasi ni ndogo, kama vile kwenye sekta za afya, viwandani, na katika matumizi ya nyumbani.
2. Usalama na Udhibiti: Gesi nyingi ni hatari ikiwa zitahifadhiwa au kutumiwa bila udhibiti sahihi. Mitungi ya gesi imeundwa kwa njia ambayo inahakikisha usalama na udhibiti wa gesi hizi. Mitungi huwa na vifaa vya kudhibiti shinikizo na valvu zinazosaidia kutoa gesi kwa kiwango kinachohitajika.
3. Usafirishaji Rahisi: Mitungi ya gesi hurahisisha usafirishaji wa gesi kutoka sehemu moja hadi nyingine. Kwa kuwa gesi imebanwa kwenye mitungi, inaweza kusafirishwa kwa urahisi bila kupoteza gesi au kuhatarisha usalama wa watu na mali.
4. Matumizi Mahususi: Mitungi ya gesi husaidia katika matumizi mahususi kama vile katika upishi (mitungi ya LPG), afya (oksijeni kwa wagonjwa), na viwandani (gesi za kulehemu kama acetylene na oxygen). Kila aina ya gesi ina mitungi maalum inayofaa kwa matumizi yake.
5. Kuepusha Upotevu wa Gesi: Mitungi husaidia kuzuia upotevu wa gesi. Bila mitungi au vyombo vya kufungia, gesi ingeweza kutoroka na kupotea haraka, hivyo kutokuwa na ufanisi katika matumizi.
Kwa hivyo, mitungi ya gesi ni muhimu kwa ajili ya kuhifadhi, kusafirisha, na kutumia gesi kwa usalama na ufanisi katika maeneo mbalimbali na kwa matumizi tofauti.
Na kwa nn watu walioko chini hawaanguki? Maana watakuwa wako miguu juu kichwa chiniNdyo dunia ni duara
Maji pia lazima yawepo katika eneo ambalo lina mkao au nafasi, hiyo ni asili yakeBasi hiyo ni packaging kama wanavofunga maji ya uhai kwenye chupa zake
Kumbe unajuaNa hiyo ndiyo asili ya hewa, lazima iwe katika eneo ambalo halina nafasi ya kutoka, kuhusu kutunza au kusafirisha, hiyo ni kwaajili ya matumizi mengine tu
Huyu jamaa nahisi ni member wa HamasKwa hyo unaamini Dunia haizunguki
Vip unaamini Dunia ni duara?
Na vipi mbona maji ambayo yako chini ya Dunia hayamwagiki?Maji pia lazima yawepo katika eneo ambalo lina mkao au nafasi, hiyo ni asili yake
Ni duara lakini sio kama mpira, ni kama CDKwa hyo unaamini Dunia haizunguki
Vip unaamini Dunia ni duara?
Duara lipi unamaanisha boss?Ndyo dunia ni duara
Mkuu air has mass hivo uzito uliopo unailazimisha ipae hadi height flanindo.maana ukienda juu sana hakuna hewaHabari za jioni wadau....
Kama mnakumbuka nilileta mada kuhusu chanzo au asili ya Oxygen, Nashukuru wadau walinipa elimu nzuri kuhusu Oxygen na nikaelewa vyema.
Leo pia nina swali kuhusu Oxygen au hewa.
Kwa mujibu wa sayansi, asili ya hewa au mazingira yake ni lazima iwe katika eneo ambalo limefungwa, ndani yake kuwe na pressure na kizuizi ili hewa hiyo isitoke.
Kwa mujibu wa NASA, dunia haipo closed, viumbe na vitu vyote vipo nje ya uso wa dunia,dunia inaelea katika space ambayo ipo wazi pande zote na haina mwisho.
Je, inakuwaje mpaka duniani panakuwa na mgandamizo wa hewa ingali pande zote zipo wazi?
View attachment 3057848
Naomba wadau wa sayansi ya mazingira mnijuze kuhusu hili....
Hizo fact ndizo bado sijazielewa na kuziaminiVery good question!
Iko hivi, kuna factors nyingi zinazopelekea dunia iweze kuretain thick atmosphere ukilinganisha na sayari nyingine.
Sababu kuu ni gravity, sote tunajuwa gravity pulls everything down toward the earth's center. But gravity sio kitu cha pekee kinachofanya kuwe na atmosphere ya kutosha mfano mars inagravity pia lakin haina thick atmosphere ukilinganisha na dunia, why?
Hapa ndo inakuja Earth's magnetic field, kuna kitu kinaitwa solar storm ni kama wind but yenyewe inakuwa na charged particles emitted from the sun hizi particles zinauwezo wa kugongana na particle za atmosphere zikiwa zinakuja kwa speed zikaondoa kabisa hewa (imagine ukipuliza sehemu saivi) uwepo wa magnetic field unarepell (moving charges normally experience force when passed in region containing magnetic field) kwahiyo magnetic field ya dunia inasukuma hizi particles hazifiki huku kwenye lower atmosphere inaishia juu juu (thus why the upper atmosphere is mostly comprised of ionized molecules, ionosphere) sayari ambazo hazina strong magnetic field mfano mars utakuta atmosphere yake nyingi huondoshwa na hizi solar storms. Ukiunganisha hizi sababu mbili utaona kwanini mwezi hauna atmosphere (low gravity about 1/6 ya hapa duniani, low magnetic field strength)
Pia kuna kitu kinaitwa diffusion, in physics sisi tunasemaga ukiwa na mchanganyiko wa gases, rate ambayo gase molecules zinadiffuse (uwezo wa molecules za gas ku-move juu ya molecules za gas nyingine/ kwa maneno rahisi kusambaa) uko inverse proportional na density (Graham's law of diffusion) for this reason most of high denser gases like Oxygen, carbon dioxide utazikuta huku on the lower atmosphere kwasababu zinauwezo mdgo wa kudiffuse especially over lower denser gases like nitrogen which comprise about 78% ya atmosphere kama sikosei
Finally kuna baadhi ya activity zinapelekea kuzalisha gases hapa duniani. Plants produces oxygen, animals produces carbondioxide, water masses like oceans zinazalisha vapour, volcanic activities zinazalisha mages kibao pia. Ukijumlisha na stronger gravity, strong magnetic field, low rate of diffusion for heavy gases it makes sense for Earth to retain its atmosphere
Kwa hiyo wote wanaishi kwenye surface moja ya juu sioNi duara lakini sio kama mpira, ni kama CD
Kwa hiyo wote wanaishi kwenye surface moja ya juu sio
CDDuara lipi unamaanisha boss?
Unajua CD na chungwa vyote ni umbo duara , hapohapo kimoja ni tambarare
What is gravity?Force of gravity
Enhe unaweza kutusaidia kutuambia Dunia inaanzia nchi ipi na inaishia nchi ipi?Ndyo
It's called relativity.Wote tunafahamu upepo ukiwa mkali unaweza kusogeza au kuyumbisha vitu, lakini kwa mujibu wa sayansi, dunia inazunguka kwa 1,040mph, mzunguko huo ni wa kasi kubwa lakini hatujawahi kuhisi au kuona kitu chochote kikisogea au kuyumba.
Je ni sababu zipi zinafanya tusihisi au kuona dalili za mzunguko wa dunia?
Sijaelewa swali lakoEnhe unaweza kutusaidia kutuambia Dunia inaanzia nchi ipi na inaishia nchi ipi?