P pilipili kichaa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 18,406 Reaction score 14,643 Sep 22, 2022 #181 Mleta hoja nakuja kama ifuatavyo; CDM ina wanachama wengi mno nchi hii tena ndicho chama chenye watu wengi wasomi kuliko vyote. CDM imepigwa vita kubwa sana na watawala, mapolisi, na usalama lkn CDM iko palepale. Kilichofanya ccm na serikali yake kupiga marufuku mikutano ya hadhara ni hofu na woga dhidi ya CDM. Mtaji wa CDM ni kada ya wasomi (vijana kwa wazee) wanaozalishwa kila mwaka ktk sekondari za Kata. Mtaji wa "chama chako" ni watu wasiowaza vyema na wenye uelewa finyu.
Mleta hoja nakuja kama ifuatavyo; CDM ina wanachama wengi mno nchi hii tena ndicho chama chenye watu wengi wasomi kuliko vyote. CDM imepigwa vita kubwa sana na watawala, mapolisi, na usalama lkn CDM iko palepale. Kilichofanya ccm na serikali yake kupiga marufuku mikutano ya hadhara ni hofu na woga dhidi ya CDM. Mtaji wa CDM ni kada ya wasomi (vijana kwa wazee) wanaozalishwa kila mwaka ktk sekondari za Kata. Mtaji wa "chama chako" ni watu wasiowaza vyema na wenye uelewa finyu.
B BALENSIAGA JF-Expert Member Joined Aug 27, 2019 Posts 3,353 Reaction score 5,800 Sep 22, 2022 #182 Kulwa Jilala said: Chadema hii ilikuwa enzi ya Dk Slaa, sasa hivi hamna kitu kabisa wamepuuzwa kila sehemu kwa sababu viongozi wao walikuwa wanatetea mafisadi Click to expand... -wamepuuzwa kila sehemu halafu mnawakubalia kwenda ikulu kufanya maridhianao. - unasema wamepuuzwa wakati wenyewe Tume yenu mliwapa kura milioni 2
Kulwa Jilala said: Chadema hii ilikuwa enzi ya Dk Slaa, sasa hivi hamna kitu kabisa wamepuuzwa kila sehemu kwa sababu viongozi wao walikuwa wanatetea mafisadi Click to expand... -wamepuuzwa kila sehemu halafu mnawakubalia kwenda ikulu kufanya maridhianao. - unasema wamepuuzwa wakati wenyewe Tume yenu mliwapa kura milioni 2
Kijogoodi JF-Expert Member Joined Mar 29, 2021 Posts 1,362 Reaction score 2,373 Sep 22, 2022 Thread starter #183 BALENSIAGA said: -wamepuuzwa kila sehemu halafu mnawakubalia kwenda ikulu kufanya maridhianao. - unasema wamepuuzwa wakati wenyewe Tume yenu mliwapa kura milioni 2 Click to expand... Maridhiano gani? Hebu waambie waitishe mkutano wa hadhara waone. Neno maridhiano ni mbinu ya kudanganyia nyumbu
BALENSIAGA said: -wamepuuzwa kila sehemu halafu mnawakubalia kwenda ikulu kufanya maridhianao. - unasema wamepuuzwa wakati wenyewe Tume yenu mliwapa kura milioni 2 Click to expand... Maridhiano gani? Hebu waambie waitishe mkutano wa hadhara waone. Neno maridhiano ni mbinu ya kudanganyia nyumbu