Kama hii ni nyumba yako kweli basi shikamoo Miriam Odemba

Tunaomba ushahidi kwamba amejenga kwa kutumia kipato chake halisi cha usanii. Otherwise, anaweza kuwa amejengewa na wanaume halafu anakuja kutubabaisha hapa na kutupotezea muda wetu wa kujadili mambo ya msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…