Kama hii ni nyumba yako kweli basi shikamoo Miriam Odemba

Kama hii ni nyumba yako kweli basi shikamoo Miriam Odemba

View attachment 121225




1394270_10153450974775181_1528721393_n.jpg






KAWEKA HIYO INSTAGRAM NA KUSEMA

MY VILLA



HONGERA KILICHOBAKI NI

SEPETU, JOKATE, NA MAMISS WENGINE WOOTE WAIGIE MFANO HUU
vipi wewe au hupo kwa ajiri ya kuamasisha.

swissme
 
Tunaomba ushahidi kwamba amejenga kwa kutumia kipato chake halisi cha usanii. Otherwise, anaweza kuwa amejengewa na wanaume halafu anakuja kutubabaisha hapa na kutupotezea muda wetu wa kujadili mambo ya msingi.
 
Back
Top Bottom