Kama hii screenshot ni kweli basi tumekwisha

Kama hii screenshot ni kweli basi tumekwisha

Mbona kuhakiki dakika 0 tu, wala kulikuwa hamna sababu ya kuanzisha post.

Hiyo bei unaweza kuta ni kutoka kwa ma agent na siyo Precision air wenyewe.

Na hata page ya precision air haitumii rangi hizo.

Screenshot_20181220-201248_Opera%20Touch.jpeg
 
wengine wala hata haitushtui maana hatuna mpango wa kupanda leo wala kesho hiyo ndege...
labda sportpesa wanipe changu
 
Back
Top Bottom