Ila anaweza Kuchezea Timu yenye Bwawa la Chura na Perege wengi pale Jangwani ndani ya Maji Machafu yenye Vinyesi ( Makimba ) ya Mto Msimbazi yakielekea Baharini?
Hela ya kumlipa Msuva hamna, halafu Msuva kule anag'aa sio huyo Chama anaye fikiria starehe za Kidimbwi, 40/40 nk.Nilikuwa na matarajio Mengi kwa Chama alivyo odoka ila karudi ngojea tumuone.
Wamoto wapi ndugu yangu yaani Match moja ndio wa moto, yaleyale ya Jaja na Yanga na performance yake na Match ya Azam ngao ya hisani. Mechi kibao alikuwa anakaa benchi.Hapo unaweza ukakuta mechi yenyewe aliyo perform sio ya ligi ni hizi mechi za kawaida kama hizi za Azam Confederation unacheza mpaka na timu za daraja la 3.