Kama hiki kinachozungumzwa chini chini juu ya CHADEMA ni kweli, basi tuendako wenye sifa walizonazo vibaka watagombea Uenyekiti

Kama hiki kinachozungumzwa chini chini juu ya CHADEMA ni kweli, basi tuendako wenye sifa walizonazo vibaka watagombea Uenyekiti

Inasemekana (japo bado naendelea kulithibitisha hili) kwamba mmoja wa viongozi ‘waandamizi‘ kabisa ndani ya CHADEMA alisikika akimwambia mtu kuwa ili uwe Mwenyekiti Taifa wa CHADEMA na uaminike basi ni lazima uwe angalau katika maisha yako ya ‘kutukuka‘ kabisa ndani ya CHADEMA uwe umekumbana na yafuatayo ambayo kwa bahati mbaya Mzee Sumaye hakuwa nayo ndiyo maana yakamshinda na kuachana na siasa.

Uwe:

- Umewahi kuhojiwa kunakopitiliza na Polisi (Mandata)

- Uwe na kesi nyingi Mahakamani na angalau uwe na ufahamu wa Mahakama ya Kisutu ilivyo

- Uwe umewahi kulala sana polisi au gerezani na hata ukiwa uraiani basi uonekane unatamani kufungwa

Kazi kweli kweli hakyanani!
Basi kitakua kikundi cha ugaidi so chama cha siasa
 
Kama hujui hizo ndiyo CV za Viongozi wa Upinzani popote pale Duniani siyo Tanzania tu!
Marehemu Mandela alipitia MAZINGIRA yayo hayo na akaja kuwa Rais wa Afrika Kusini. Viongozi wengi ambao nchi zao zilikuwa chini ya Tawala za Wakolone walipata misukosuko kama wanayopitia kina Mbowe kwa sasa....!!
Kiongozi yeyote ambaye alikuwa hasumbuliwi na Makaburu au Wakoloni basi huyo alikuwa ni KIBARAKA WA MKOLONE na hakupashwa kuwa kiongozi wa Upinzani...!!!!

Sumaye hana sifa za kuwa Kiongozi wa ngazi ya Taifa kama Mwenyekiti kuongoza CHADEMA hana hizo sifa...!!Sumaye amefuata nyayo za KIBARA mwenzake Lowassa ambao walikuwa ni mapandikizi tu ndani ya CHADEMA na kazi yao imekuwa kudhooisha upinzani...!!!Kama vipi aende akamwone JIWE atampa hata ukuu wa Mkoa ili aendeleee kula Pensheni ya Uwaziri Mkuu na mshahara wa u-DC!
 
Tumabisha kwa sababu tunapenda malumbano tuu.
Hivi kama chama viongozi wote wanabambikwa kesi kila siku, kila kukicha polisi, viongozi na wanachama wanashambuliwa wao au Mali zao na hayo ndio maisha ya wanachama.
Lakini wewe uje from nowhere na dhahma hizo wazipatazo wanachama huzijui zaidi ya kusoma kwenye magazeti halafu upewe nafasi ya juu kabisa? Shubamit, hakuna kitu kama hicho.
Nenda kwenye nchi mfano za kusini kizazi kile kilichopigania Uhuru kingalipo hakuna kupewa madaraka eti ulikuwa unaishi nje ya utaratibu wa harakati za Uhuru upewe nafasi ya juu. Ajabu nini kwa Chadema? Au jinsi presentation ya jambo hilo ndio haijakaa vizuri lakini MAANA halisi ndio hii.
Swadakta
 
Inasemekana (japo bado naendelea kulithibitisha hili) kwamba mmoja wa viongozi ‘waandamizi‘ kabisa ndani ya CHADEMA alisikika akimwambia mtu kuwa ili uwe Mwenyekiti Taifa wa CHADEMA na uaminike basi ni lazima uwe angalau katika maisha yako ya ‘kutukuka‘ kabisa ndani ya CHADEMA uwe umekumbana na yafuatayo ambayo kwa bahati mbaya Mzee Sumaye hakuwa nayo ndiyo maana yakamshinda na kuachana na siasa.

Uwe:

- Umewahi kuhojiwa kunakopitiliza na Polisi (Mandata)

- Uwe na kesi nyingi Mahakamani na angalau uwe na ufahamu wa Mahakama ya Kisutu ilivyo

- Uwe umewahi kulala sana polisi au gerezani na hata ukiwa uraiani basi uonekane unatamani kufungwa

Kazi kweli kweli hakyanani!
Na sifa ya kuwa mwenyekiti wa Chama cha CCM kitaifa, ni lazima uwe popoma uliyetukuka na punguani wahedi mwenye uwezo mkubwa sana wa kuongoza mapopoma
 
Kwani ilikuwa lazima Sumaye awe mwenyekiti? Watu wanajadili utadhani ni lazima agombee. Hivi ingekuwa wewe ni kiongozi katika hili wimbi la hama hama, ungeweza kuruhusu yeyote awe kiongozi hasa kama ana vinasaba na ccm? Mwenyewe kalalamika kunyanganywa mashamba na kuchukiwa na familia, je ukimpa uongozi akazidiwa na nguvu ya familia isiyotaka kaskash za kuwa mpinzani na kunyang'anywa Mali zaidi na huku tayari ameshakuwa mwenyekiti wa Taifa, kama una akili timamu, huioni hatari itakayoikabili Chadema?

Ukitaka kujua ninachokisema kinafanyaje kazi, subiri kura za maoni 2020 kwa wagombea wa ccm uone kama walioubga juhudi watapita hata mmoja tofauti na wale raisi atajaowakingia kifua baada ya kubwagwa vibaya kwenye kura za maoni.

Mark my words, hivyo ndivyo ilivyo na itakavyokuwa.
From no where 'unakuwa mwenyekiti'
 
Back
Top Bottom