Kama hiki kinachozungumzwa chini chini juu ya CHADEMA ni kweli, basi tuendako wenye sifa walizonazo vibaka watagombea Uenyekiti

Dola kumkamata jasusi la kinyarwanda genta
 
Dola kumkamata jasusi la kinyarwanda genta

Mmechelewa sana kama siyo mno na Tanzania yenu yote ipo Kiganjani Kwangu na Kiganjani mwa Wanyarwanda wote. Msijiroge!
 
Basi kitakua kikundi cha ugaidi so chama cha siasa
 

Kama hujui hizo ndiyo CV za Viongozi wa Upinzani popote pale Duniani siyo Tanzania tu!
Marehemu Mandela alipitia MAZINGIRA yayo hayo na akaja kuwa Rais wa Afrika Kusini. Viongozi wengi ambao nchi zao zilikuwa chini ya Tawala za Wakolone walipata misukosuko kama wanayopitia kina Mbowe kwa sasa....!!
Kiongozi yeyote ambaye alikuwa hasumbuliwi na Makaburu au Wakoloni basi huyo alikuwa ni KIBARAKA WA MKOLONE na hakupashwa kuwa kiongozi wa Upinzani...!!!!

Sumaye hana sifa za kuwa Kiongozi wa ngazi ya Taifa kama Mwenyekiti kuongoza CHADEMA hana hizo sifa...!!Sumaye amefuata nyayo za KIBARA mwenzake Lowassa ambao walikuwa ni mapandikizi tu ndani ya CHADEMA na kazi yao imekuwa kudhooisha upinzani...!!!Kama vipi aende akamwone JIWE atampa hata ukuu wa Mkoa ili aendeleee kula Pensheni ya Uwaziri Mkuu na mshahara wa u-DC!
 
Swadakta
 
Na sifa ya kuwa mwenyekiti wa Chama cha CCM kitaifa, ni lazima uwe popoma uliyetukuka na punguani wahedi mwenye uwezo mkubwa sana wa kuongoza mapopoma
 
From no where 'unakuwa mwenyekiti'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…