Kama hiki wanachoshangilia CHADEMA ni tumaini jipya ni wazi kuwa hawajitambui

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Kila mwana CHADEMA sasa hivi anasikika akinog'ona kwa maneno na maandishi. Mama ndio kiongozi maana amerudisha uhuru wa kuongea na kufanya ziara za kisiasa.

Pia, wanafurahi sana pale wanapoona askari wa miguu (infatry soldiers) waliokuwa bega kwa bega na JPM wakipata madhira.

Mbaya na isiyofaa kabisa ni kitendo cha kufurahia kuona wapiga dili na mafisadi wakifutiwa kesi. Hapa ndipo utasikia wakiongea kwa kila lugha. Mwendazake alitesa na kunyanyasa satu, alikuwa mwizi na mnyag'anyi.

Kwa mantiki hii wafuasi wa CHADEMA hawajitambui. Baada ya miezi sita wataanza malalamiko ya kindezi. Wakati utasema.
 
Hivi wewe taga huwa huna kazi yoyote ya kufanya?
24 hours uko JF kuponda serikali na Chadema.

Kwa taarifa yako wanaofurahia na kuunga mkono uongozi wa mama ni watanzania wote. wanaCCM, Chadema,Act na wale wasiokuwa na chama.

Watanzania walikuwa wamechoshwa kabisa na utawala wa kidikteta wa Magufuli. Hawajazoea mambo ya namna hiyo. Ya kutekana na kubambikiziana kodi. Ya kupora mali za wafanyabiashara.
 
Roho za kimaskini na choyo zilipelekea mkabambika watu makesi mkiamini wao ndio sababu ya roho yenu mbaya na umaskini wenu tangu wa mawazo na hata mali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…