Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 26,829
- 38,912
Kachanjwe sasaFalsafa zipi, za kujima kama kupiga nyungu?
Chanjo ya corona imeshatua nchini tayari
Kachanjwe sasaFalsafa zipi, za kujima kama kupiga nyungu?
Chanjo ya corona imeshatua nchini tayari
Ulikwenda kupiga kura au hukwenda!?Kwani wakati wa Magufuli kulikuwa na uchaguzi? Hebu usitulazimishe kucheka.
Aliambiwa apanue!!?Sasa alikwambiaje upanue?
Yaani wanachekesha kweli. Jana walikuwa wanahoji na kupinga kauli ya JK aliposema pesa ya Escrow sio ya Serikali. Leo wanashangalia mhusika wa kukwapua pesa za Escrow kuachiliwa. Yaani aliyewaita nyumbu hakukosea kabisa!Kila mwana CHADEMA sasa hivi anasikika akinog'ona kwa maneno na maandishi. Mama ndio kiongozi maana amerudisha uhuru wa kuongea na kufanya ziara za kisiasa.
Pia, wanafurahi sana pale wanapoona askari wa miguu (infatry soldiers) waliokuwa bega kwa bega na JPM wakipata madhira.
Mbaya na isiyofaa kabisa ni kitendo cha kufurahia kuona wapiga dili na mafisadi wakifutiwa kesi. Hapa ndipo utasikia wakiongea kwa kila lugha. Mwendazake alitesa na kunyanyasa satu, alikuwa mwizi na mnyag'anyi.
Kwa mantiki hii wafuasi wa CHADEMA hawajitambui. Baada ya miezi sita wataanza malalamiko ya kindezi. Wakati utasema.
Muweke akiba ya maneno,mjue kifo hakijaanza MAGUFULI,na hakijaishia kwakeAmekufa ,Ameoza, Amenuka Uvundo.
ndio maana TUKAFUKIA. Mjane uamini ehee.
Hujui kitu wewe dada mkubwa, sisi tunachofurahia ni Mwenyezi Mungu kutuondolea huyu dhalim wenu kwenye uso wa nchi.Kila mwana CHADEMA sasa hivi anasikika akinog'ona kwa maneno na maandishi. Mama ndio kiongozi maana amerudisha uhuru wa kuongea na kufanya ziara za kisiasa.
Pia, wanafurahi sana pale wanapoona askari wa miguu (infatry soldiers) waliokuwa bega kwa bega na JPM wakipata madhira.
Mbaya na isiyofaa kabisa ni kitendo cha kufurahia kuona wapiga dili na mafisadi wakifutiwa kesi. Hapa ndipo utasikia wakiongea kwa kila lugha. Mwendazake alitesa na kunyanyasa satu, alikuwa mwizi na mnyag'anyi.
Kwa mantiki hii wafuasi wa CHADEMA hawajitambui. Baada ya miezi sita wataanza malalamiko ya kindezi. Wakati utasema.
Kuna sehemu nimesema aliniambia?Sasa alikwambiaje upanue?
Hujamsikia Mbowe akisema kwenye ziara yake? Au nafumba masikio na macho.Chama kina wasemaji mami . Taja kiongozi hata moja aliefurahia yanayoendelea ndani ya serikali ya Ccm kwa sasa .
U dictator aliokuwa nao mwendazake. Si hulka na silka ya waTz . Ule ulikuwa ni moyo wa kinya Rwanda . Na Mungu ameamua kesi hiyo
Kumbe tulishangazwa wengi!Magufuli mbona aliwaachia wale polisi Wala rushwa wa Mwanza na akawarudisha na Job
Mbona huyo mungu wako hakuamua Ccm itoke madarakani na Lisu awe rais?Chama kina wasemaji mami . Taja kiongozi hata moja aliefurahia yanayoendelea ndani ya serikali ya Ccm kwa sasa .
U dictator aliokuwa nao mwendazake. Si hulka na silka ya waTz . Ule ulikuwa ni moyo wa kinya Rwanda . Na Mungu ameamua kesi hiyo
Huyo mungu wako mbona hakuindoa ccm ili Lisu awe rais?Hujui kitu wewe dada mkubwa, sisi tunachofurahia ni Mwenyezi Mungu kutuondolea huyu dhalim wenu kwenye uso wa nchi.
look at them? does they move, walk ,run the same like their past leader?What do you mean Detective J.
Mungu hakuiondoa Ccm lakini amemnyamazisha dhalimu aliyejifanya mungumtu. Aongoze malaika sasa [emoji3517]Mbona huyo mungu wako hakuamua Ccm itoke madarakani na Lisu awe rais?
Shetani na muuaji mkubwa yule, acha aende JEHANAMU. MAMMAE zake.Muweke akiba ya maneno,mjue kifo hakijaanza MAGUFULI,na hakijaishia kwake
oh "mna" first of all sipo kwenye kundi lolote.. au siasa za upande wowote. just an independent entity.Ndio haya matumaini mnayojidanganya.
Lkini ccm bado iko palepale imewakalia na Lisu siyo rais!Mungu hakuiondoa Ccm lakini amemnyamazisha dhalimu aliyejifanya mungumtu. Aongoze malaika sasa [emoji3517]