Kama hili tukio ni la kweli basi iko siku na mimi litanitukia!

Kama hili tukio ni la kweli basi iko siku na mimi litanitukia!

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Sijui ni madini gani hayo, lakini naamini yatakuwa ya thamani sana. "Kesho" nikikutana nayo shambani kwangu sitayaacha.

1. Ni madini gani hayo?
2. Hiyo video ni halisi au ni ya kutengenezwa?
3. Tanzania kuna madini kama hayo?
 

Attachments

  • Diamonds_and_emeralds_emerge_from_crevices_in_rocks_after_torrential_rain(144p).mp4
    21.6 MB
"Piao Liang"
Aliposema "piao liang" amesema "beautiful".
Yaani,this gem is beautiful.
 
Back
Top Bottom