GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,189 Reaction score 10,375 Nov 24, 2024 #1 Sijui ni madini gani hayo, lakini naamini yatakuwa ya thamani sana. "Kesho" nikikutana nayo shambani kwangu sitayaacha. 1. Ni madini gani hayo? 2. Hiyo video ni halisi au ni ya kutengenezwa? 3. Tanzania kuna madini kama hayo? Attachments Diamonds_and_emeralds_emerge_from_crevices_in_rocks_after_torrential_rain(144p).mp4 21.6 MB
Sijui ni madini gani hayo, lakini naamini yatakuwa ya thamani sana. "Kesho" nikikutana nayo shambani kwangu sitayaacha. 1. Ni madini gani hayo? 2. Hiyo video ni halisi au ni ya kutengenezwa? 3. Tanzania kuna madini kama hayo?
magwamaka Senior Member Joined May 20, 2023 Posts 120 Reaction score 266 Nov 24, 2024 #2 Hiyo ni rangi ya kijani fulani inaweza kuwa copper
Teknocrat JF-Expert Member Joined Oct 20, 2018 Posts 4,967 Reaction score 11,056 Nov 24, 2024 #3 Ya kichina hayo yamejaa kariakoo
Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 15,486 Reaction score 45,256 Nov 24, 2024 #4 Hao ni content creator. Madini ni mambo mengine, ukiyaona hata muda wa kuchukua video hupati
Poppy Hatonn JF-Expert Member Joined Apr 9, 2021 Posts 3,095 Reaction score 4,632 Nov 24, 2024 #5 "Piao Liang" Aliposema "piao liang" amesema "beautiful". Yaani,this gem is beautiful.
Poppy Hatonn JF-Expert Member Joined Apr 9, 2021 Posts 3,095 Reaction score 4,632 Nov 24, 2024 #6 Mwamuzi wa Tanzania said: Hao ni content creator. Madini ni mambo mengine, ukiyaona hata muda wa kuchukua video hupati Click to expand... Unasema hii video ni feki?
Mwamuzi wa Tanzania said: Hao ni content creator. Madini ni mambo mengine, ukiyaona hata muda wa kuchukua video hupati Click to expand... Unasema hii video ni feki?