Kama hivi ndivyo unavyoishi mjini ni bora urudi tu kijijini ukaishi kulingana na kipato chako

We nenda katibiwe unaumwa. Halafu ulimbukeni. Huna kazi ya kufanya mpaka upate muda wa kuandika huu upupu, au kuna mtu anakulipa
 
Vijijini vya Afrika vinanuka umaskini. Kurudi kijijini ndo kujimaliza zaidi. Mjini ndo mpango mzimaHata Yesu mwenyewe alikuwa anawaambia jamaa zake tukutane mjini Yerusalem, Nazareth, au Galilaya. Yaani mishe zake nyingi zilikuwa ni downtown. Kijijini alichokuwa anaenda ni kijiji alichokuwa anaishi Mariam Magdalene ambako kuna wakati wanakijiji kwa roho mbaya wakamfukuza kwa kumrushia mawe.
 
Kuna Watanzania wengi ambao ni hodari wa kutoa ushauri ambao hawajaombwa, kwa watu wasiowahusu, kwenye mambo wasiyoyaelewa.
 
Dar kuna maskini na matajiri

Mikoani kuna maskini na matajiri

Vijijini kuna matajiri wachache wa standard ya huko na maskini wengi

Wapi akae mtu ni suala la kujipima na kuamua maana hakuna kanuni specific ya mafanikio mkuu
 
Umenitoa stress mkuu!Hata alipofufuka aliwaambia wakutane Galilaya.
 
Elimu Ya Ngumbaro
Mwandiko Mchafu Sana
umerundika Kazi, Fanya Masahihisho Haraka
Kuleta Mvuto Kwa Wasomaji Ili Wachangie Kwa Uhuru
Hakuna Parandesi, Nukta, Koma, Alama Ya Mshangao, Alama Ya Kuuliza, Funga/Kufungua Semi
Arudi shule tenaa aanze kushika penseli kwanza
 
Vipi tuliozaliwa mjini, na ndipo kwetu, twende wapi sasa?
Kumbuka siyo kila mtu ana asili ya kijijini....
 
Vijiji vya mkoa mfano simiyu kuchukuliwa msukule ni kunusa tu, yaani huko bado wanaishi mwaka 1240, yaani ule mbususu ya mtoto wa watu mbichi halafu muache ukaoe kwingine utakuwa umejitengenezea jehanam yako ya hapa duniani.
 
uko sahihi, lakini ni vyema kumwacha mtu aamue mwenyewe hatma ya maisha yake na pia jinsi ya kuishi. mjini pazuri sana sheikh, kuna mema ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…