Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,523
- 5,159
Katika maisha ndio hivyo kuna vitu haviwezi kuzungumza tu,ila laiti vingepata nafasi basi vingezungumza:_
1:SIGARA
Hii ni moja ya biashara kubwa kila pembe ya Dunia,huvutwa na watu tofauti tofauti,wake kwa waume,wazee kwa vijana.
Pamoja na kutoa huduma kwa jamii hiyo lakini imekuwa biashara ya kusimangwa kila iitwayo leo,ingawaje watu wanaburudika,hii ingroata nafasi ya kuzungumza basi nadhani ingesema tu kwamba binadamu ni wanafiki.
2:Hebu tuendelee kuzitaja chini hapa