Tatizo mnaleta siasa kwenye soka.WEWE KAMA HUITAKI CCM HAMA TIMU HARAKA
Huwezi kufurahia matunada matamu ya mti ila ukauchukia mti unaozalisha matunda hayo.
Sisi kama YANGA tuna historia yetu wewe ukijiona tu unaumia YANGA kuichangia CCM basi ujuwe wewe ulipaswa Kushabikia upande mwengine .
Tutaendelea kuichangia CCM kwa hali na Mali kwa sababu ni CHAMA chenye historia kubwa katika Club yetu.
Tunafunga huu mjadala kwa kusema kama unaumia sisi kuichangia CCM hama .
Hakuna mwana Yanga ambaye aliyechukia Yanga kuichangia CCM coz Taasisi lazima zisaidiane when in need
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Taasisi zinategemeana mkuuTa
Tatizo mnaleta siasa kwenye soka.
Je huko Simba hakuna wana CCM?
Tatizo lenu yanga mnachukia kinyesi wakati mnafurahia funza wanaotokana na kinyesi.
Nawashangaa mashabiki wa yanga wanaojidai eti sio wana ccm.Ni wapuuzi tu.
Unakuwaje yanga halafu usiwe ccm.
Kutukana mitandaoni kwa sababu tu ya mchango ni utaahira.Endeleeni kuishi na yanga na ccm ni vitu vinaendana sana kama chips na tomato
Simba ndo waligomea mkuukama mtu anasema hachezi mechi na kweli hachezi unafikiria nini..
Walichofanya yanga wamekosea kama CAF au FIFA wakiingilia kati hii itakuwa fedheha kubwa yaani law department ya yanga ni dhaifu sana ndio hawa wapo mitandaoni wanamtukuna jasmin wakati yule dada alimsaidia Emanuel ebou nashangaa wanasheria vilaza wa yanga wanamkejeli.WEWE KAMA HUITAKI CCM HAMA TIMU HARAKA
Huwezi kufurahia matunada matamu ya mti ila ukauchukia mti unaozalisha matunda hayo.
Sisi kama YANGA tuna historia yetu wewe ukijiona tu unaumia YANGA kuichangia CCM basi ujuwe wewe ulipaswa Kushabikia upande mwengine .
Tutaendelea kuichangia CCM kwa hali na Mali kwa sababu ni CHAMA chenye historia kubwa katika Club yetu.
Tunafunga huu mjadala kwa kusema kama unaumia sisi kuichangia CCM hama .
Hakuna mwana Yanga ambaye aliyechukia Yanga kuichangia CCM coz Taasisi lazima zisaidiane when in need
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ni vitu vya kawaida mkuu....sema naona makolo Wana complicate sanaWalichofanya yanga wamekosea kama CAF au FIFA wakiingilia kati hii itakuwa fedheha kubwa yaani law department ya yanga ni dhaifu sana ndio hawa wapo mitandaoni wanamtukuna jasmin wakati yule dada alimsaidia Emanuel ebou nashangaa wanasheria vilaza wa yanga wanamkejeli.
Turudi kwenye mada hoja ya kwamba yanga ilishawahi kuisadia TANU ni dhaifu kwasababu kipindi yanga wanafanya hayo nchi ilikuwa ya chama kimoja.
Yaani huwezi ukatoa million 100 kanisani halafu waislamu wakihoji unasema mna historia na wakristo that's nonsense futa hii thread yako unajiabisha halafu yanga wote kwenye masuala ya sheria ni mbingu na ardhi.
Kutokana na hili lililofanyika unasemaje ukilinganisha na sheria za chama cha mpira duniani FIFA kuhusu timu kujihusisha na mambo ya kisiasa?WEWE KAMA HUITAKI CCM HAMA TIMU HARAKA
Huwezi kufurahia matunada matamu ya mti ila ukauchukia mti unaozalisha matunda hayo.
Sisi kama YANGA tuna historia yetu wewe ukijiona tu unaumia YANGA kuichangia CCM basi ujuwe wewe ulipaswa Kushabikia upande mwengine .
Tutaendelea kuichangia CCM kwa hali na Mali kwa sababu ni CHAMA chenye historia kubwa katika Club yetu.
Tunafunga huu mjadala kwa kusema kama unaumia sisi kuichangia CCM hama .
Hakuna mwana Yanga ambaye aliyechukia Yanga kuichangia CCM coz Taasisi lazima zisaidiane when in need
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mbna serikali ya CCM inajenga viwanja???Kutokana na hili lililofanyika unasemaje ukilinganisha na sheria za chama cha mpira duniani FIFA kuhusu timu kujihusisha na mambo ya kisiasa?
Hapa ndipo nitajua wewe kweli ni shabiki unayejua mpira na sheria zake ama la. Karibu mkuu
Hawamuoni mu IPTL PALE UONGOZINITa
Tatizo mnaleta siasa kwenye soka.
Je huko Simba hakuna wana CCM?
Tatizo lenu yanga mnachukia kinyesi wakati mnafurahia funza wanaotokana na kinyesi.
Nawashangaa mashabiki wa yanga wanaojidai eti sio wana ccm.Ni wapuuzi tu.
Unakuwaje yanga halafu usiwe ccm.
Kutukana mitandaoni kwa sababu tu ya mchango ni utaahira.Endeleeni kuishi na yanga na ccm ni vitu vinaendana sana kama chips na tomato
Nitaitetea Yangu hadi kiama.Mambo ya vyama hayanihusuWEWE KAMA HUITAKI CCM HAMA TIMU HARAKA
Huwezi kufurahia matunada matamu ya mti ila ukauchukia mti unaozalisha matunda hayo.
Sisi kama YANGA tuna historia yetu wewe ukijiona tu unaumia YANGA kuichangia CCM basi ujuwe wewe ulipaswa Kushabikia upande mwengine .
Tutaendelea kuichangia CCM kwa hali na Mali kwa sababu ni CHAMA chenye historia kubwa katika Club yetu.
Tunafunga huu mjadala kwa kusema kama unaumia sisi kuichangia CCM hama .
Hakuna mwana Yanga ambaye aliyechukia Yanga kuichangia CCM coz Taasisi lazima zisaidiane when in need
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kutokana na hili lililofanyika unasemaje ukilinganisha na sheria za chama cha mpira duniani FIFA kuhusu timu kujihusisha na mambo ya kisiasa?
Hapa ndipo nitajua wewe kweli ni shabiki unayejua mpira na sheria zake ama la. Karibu
Haino shidoooo,sisi ni sokoooo tooooKwani kuna shidoo??, waelezeni vizuri mashabiki zenu kuwa timu ni ya chama Fulani.....alafu mbona yanga wenyewe wametoa barua....kwani wewe unashida Gani na hiyo timu🙇🤪🤪. Hata wakiwa ni thimba kwani Nino shidoo??😄
Wenzako washakanusha huko.WEWE KAMA HUITAKI CCM HAMA TIMU HARAKA
Huwezi kufurahia matunada matamu ya mti ila ukauchukia mti unaozalisha matunda hayo.
Sisi kama YANGA tuna historia yetu wewe ukijiona tu unaumia YANGA kuichangia CCM basi ujuwe wewe ulipaswa Kushabikia upande mwengine .
Tutaendelea kuichangia CCM kwa hali na Mali kwa sababu ni CHAMA chenye historia kubwa katika Club yetu.
Tunafunga huu mjadala kwa kusema kama unaumia sisi kuichangia CCM hama .
Hakuna mwana Yanga ambaye aliyechukia Yanga kuichangia CCM coz Taasisi lazima zisaidiane when in need
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hili ndilo umeona jibu sahihi kutokana na swali langu? Unajua responsibility of any government to its citizens?
Ni dhahiri wengi mnashindwa kutofautisha kipi Chama ipi serikali. Na hii yote ni sababu CCM imewapumbaza kwamba yenyewe ndo Kila kitu.WEWE KAMA HUITAKI CCM HAMA TIMU HARAKA
Huwezi kufurahia matunada matamu ya mti ila ukauchukia mti unaozalisha matunda hayo.
Sisi kama YANGA tuna historia yetu wewe ukijiona tu unaumia YANGA kuichangia CCM basi ujuwe wewe ulipaswa Kushabikia upande mwengine .
Tutaendelea kuichangia CCM kwa hali na Mali kwa sababu ni CHAMA chenye historia kubwa katika Club yetu.
Tunafunga huu mjadala kwa kusema kama unaumia sisi kuichangia CCM hama .
Hakuna mwana Yanga ambaye aliyechukia Yanga kuichangia CCM coz Taasisi lazima zisaidiane when in need
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile
Kwa hiyo YANGA ndo wamiliki wa ccm??Sisi kama YANGA tuna historia yetu wewe ukijiona tu unaumia YANGA kuichangia CCM basi ujuwe wewe ulipaswa Kushabikia upande mwengine .