Kama huitaki CCM hama Yanga, wanaotukana Yanga kuichangia CCM ni wanasimba

Kama huitaki CCM hama Yanga, wanaotukana Yanga kuichangia CCM ni wanasimba

WEWE KAMA HUITAKI CCM HAMA TIMU HARAKA

Huwezi kufurahia matunada matamu ya mti ila ukauchukia mti unaozalisha matunda hayo.

Sisi kama YANGA tuna historia yetu wewe ukijiona tu unaumia YANGA kuichangia CCM basi ujuwe wewe ulipaswa Kushabikia upande mwengine .

Tutaendelea kuichangia CCM kwa hali na Mali kwa sababu ni CHAMA chenye historia kubwa katika Club yetu.

Tunafunga huu mjadala kwa kusema kama unaumia sisi kuichangia CCM hama .

Hakuna mwana Yanga ambaye aliyechukia Yanga kuichangia CCM coz Taasisi lazima zisaidiane when in need

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Wenye akili ni wawili tuu
 
Back
Top Bottom