Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,649
- 6,680
Asikwambie mtu chuo kinapendezaa. Hawa 1st year walioshushwa hapa ni wa kiwango cha kimataifa.
Nimeshazunguka kwenye major varsities kama UDSM, IFM, SUA, UDOM, Iringa University na SAUT kwa hiyo nazijua standards za vyuo vikuu.
Yaani kama nyumba yako sijui ndio kwanza iko kwenye lenta au sijui mshahara wako ni ule wa kima cha chini, chonde chonde, usikatishe Coca cola road.
Dont say I didn't warn u!