GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nilitongoza kama 7 hivi na Wote kabla ya kutaka kwenda ' Kuwabandua ' nilienda nao Kupima ' Dally Kimoko Solo Guitar Virus ' na kujikuta nipo Salama na Wao wameshaanza ' Kulikung'uta ' vizuri hilo Gitaa na kusema ' sitotongoza ' tena Mademu wa hapo na nitaendelea Kujikita tu na wa Muhimbili Chuoni ambao wengi wao ni ' Ukimwiless ' kabisa.Asikwambie mtu chuo kinapendezaa. Hawa 1st year walioshushwa hapa ni wa kiwango cha kimataifa.
Nimeshazunguka kwenye major varsities kama UDSM, IFM, SUA, UDOM, Iringa University na SAUT kwa hiyo nazijua standards za vyuo vikuu.
Yaani kama nyumba yako sijui ndio kwanza iko kwenye lenta au sijui mshahara wako ni ule wa kima cha chini, chonde chonde, usikatishe Coca cola road.
Dont say I didn't warn u!