Kama hujajenga na mshahara wako ni wa kuunga unga, usipite karibu na Tumaini ya Dar!

Bemendazole

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2020
Posts
2,649
Reaction score
6,680
Asikwambie mtu chuo kinapendezaa. Hawa 1st year walioshushwa hapa ni wa kiwango cha kimataifa.

Nimeshazunguka kwenye major varsities kama UDSM, IFM, SUA, UDOM, Iringa University na SAUT kwa hiyo nazijua standards za vyuo vikuu.

Yaani kama nyumba yako sijui ndio kwanza iko kwenye lenta au sijui mshahara wako ni ule wa kima cha chini, chonde chonde, usikatishe Coca cola road.

Dont say I didn't warn u!
 
Kawaida sana mm napita kila siku
 
[emoji3516]
HUJAWAONA MABINTI WAUZA MBOGAMBOGA NA MATUNDA WA TEGETA KWA NDEVU WEWE-
NI MAPINI HADI UNAWEZA UKANUNUA BESENI ZIMA LA MAPARACHICHI ILI UPEWE "BUMUNDA"!!!
 
Waacheni watoto wasome
 
Hizi zilipendwa asee siku hizi unampa 50000 kwa mwez inatosha
 
Ila kiukweli hapa SUA kuna watoto kinouma hasahasa hapa Mazimbu ndani... Ni shida
 
Kwamba hao 'mademu' wanakula tofali au mabati?
swali la msingi Sana...

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

wengine sisi tukishajua binti ni mwanafunzi mzuka wa uzinzi unayeyuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…