Tamthiliya gani hiyo??
Hili jambo lilimpata rafiki yangu..ni mvulana mwenye umri unaostahili kuoa.Na yuko na rafiki yake ambae wameishi pamoja toka utotoni that is wa kiume pia.Wote wako na mademu ambao pia ni marafiki wakubwa.Ilitokea kwamba msimu wa mwaka mpya walienda holiday wakiwa wote wanne..kwa bahati nzuri ama mbaya walikodi guest na chumba walichopata ni single room vitanda viwili..sasa bas waliingia kwa guest na vinywaji vyao lakini vinywaji vilipokatika,wakatuma hao mabinti kuleta vinywaji..mabinti waliporudi ndo mjadala ukaangushwa.mabinti waliwaomba hao kina kaka kwa kuwa ni marafiki wakubwa wangependelea sana ikiwa kaka wa kwanza alale na mpenzi wa kaka wa pili na vile vile kwa huyo mwingine kwa usiku huo tu..ndipo kaka akaniuliza ingekuwa mimi ningechukua uamuzi gani..?
unajua si vizuri kufanya kila kitu walichoona kwenye porn..
maana hao porn star ni ma profession kwenye hiyo idara...
kama hawana mpango wakuoana na wamekubaliana"basi maisha mbele kwa mbele"
lakini kesho wasije singizia pombe..
maana haina makosa yeyote..
Hili jambo lilimpata rafiki yangu..ni mvulana mwenye umri unaostahili kuoa.Na yuko na rafiki yake ambae wameishi pamoja toka utotoni that is wa kiume pia.Wote wako na mademu ambao pia ni marafiki wakubwa.Ilitokea kwamba msimu wa mwaka mpya walienda holiday wakiwa wote wanne..kwa bahati nzuri ama mbaya walikodi guest na chumba walichopata ni single room vitanda viwili..sasa bas waliingia kwa guest na vinywaji vyao lakini vinywaji vilipokatika,wakatuma hao mabinti kuleta vinywaji..mabinti waliporudi ndo mjadala ukaangushwa.mabinti waliwaomba hao kina kaka kwa kuwa ni marafiki wakubwa wangependelea sana ikiwa kaka wa kwanza alale na mpenzi wa kaka wa pili na vile vile kwa huyo mwingine kwa usiku huo tu..ndipo kaka akaniuliza ingekuwa mimi ningechukua uamuzi gani..?
hehehehe, hao madada ni nowmaa, naweza pata namba zao?
Hiyo avatar yako, mmmmh!!!!
Ni wapumbavu na hawapendani wala kujali hatma zao binafsi na za mahusiano yao.......
Mwanaume/mwanamke mnayependana kweli na kuheshimiana haweza kushauri wala kufikiria upuuzi kama huo :A S thumbs_down::coffee::A S thumbs_down: