Kama hujaoa/olewa unaliweza hili?

Kama hujaoa/olewa unaliweza hili?

unajua si vizuri kufanya kila kitu walichoona kwenye porn..
maana hao porn star ni ma profession kwenye hiyo idara...

kama hawana mpango wakuoana na wamekubaliana"basi maisha mbele kwa mbele"

lakini kesho wasije singizia pombe..
maana haina makosa yeyote..
 
No comment nilikuwa napita 2!!!
Lakini muulize kwanza yeye aliamua nini coz kakuuliza wakati keshafanya anatafuta ushauri wa nini??!!
 
Hili jambo lilimpata rafiki yangu..ni mvulana mwenye umri unaostahili kuoa.Na yuko na rafiki yake ambae wameishi pamoja toka utotoni that is wa kiume pia.Wote wako na mademu ambao pia ni marafiki wakubwa.Ilitokea kwamba msimu wa mwaka mpya walienda holiday wakiwa wote wanne..kwa bahati nzuri ama mbaya walikodi guest na chumba walichopata ni single room vitanda viwili..sasa bas waliingia kwa guest na vinywaji vyao lakini vinywaji vilipokatika,wakatuma hao mabinti kuleta vinywaji..mabinti waliporudi ndo mjadala ukaangushwa.mabinti waliwaomba hao kina kaka kwa kuwa ni marafiki wakubwa wangependelea sana ikiwa kaka wa kwanza alale na mpenzi wa kaka wa pili na vile vile kwa huyo mwingine kwa usiku huo tu..ndipo kaka akaniuliza ingekuwa mimi ningechukua uamuzi gani..?

Join DateThu Jun 2009LocationWhen the time comes u shall know.But 4 now,simply watch the destructions that I can cause from afar.

hiyo location yako imekama attention yangu si mchezo
hahahahaha lol
 
unajua si vizuri kufanya kila kitu walichoona kwenye porn..
maana hao porn star ni ma profession kwenye hiyo idara...

kama hawana mpango wakuoana na wamekubaliana"basi maisha mbele kwa mbele"

lakini kesho wasije singizia pombe..
maana haina makosa yeyote..

Nasikia mtu anafanya vituko akilewa eti kesho yake hakumbuki kuna mshikaji wangu alinipa siri alisema unakuwa unakumbuka ila inabidi upotezee eti "hukumbuki" hehehehe

Hiyo ya huyu jamaa kwenye reproduction tulisoma inaitwa uchevushaji pweke............
 
Hili jambo lilimpata rafiki yangu..ni mvulana mwenye umri unaostahili kuoa.Na yuko na rafiki yake ambae wameishi pamoja toka utotoni that is wa kiume pia.Wote wako na mademu ambao pia ni marafiki wakubwa.Ilitokea kwamba msimu wa mwaka mpya walienda holiday wakiwa wote wanne..kwa bahati nzuri ama mbaya walikodi guest na chumba walichopata ni single room vitanda viwili..sasa bas waliingia kwa guest na vinywaji vyao lakini vinywaji vilipokatika,wakatuma hao mabinti kuleta vinywaji..mabinti waliporudi ndo mjadala ukaangushwa.mabinti waliwaomba hao kina kaka kwa kuwa ni marafiki wakubwa wangependelea sana ikiwa kaka wa kwanza alale na mpenzi wa kaka wa pili na vile vile kwa huyo mwingine kwa usiku huo tu..ndipo kaka akaniuliza ingekuwa mimi ningechukua uamuzi gani..?

Bongo kuna Swingers siku hizi?
Mimi nisingekubali. Changu ni chakwangu. Period:roll:
 
Ni wapumbavu na hawapendani wala kujali hatma zao binafsi na za mahusiano yao.......
Mwanaume/mwanamke mnayependana kweli na kuheshimiana haweza kushauri wala kufikiria upuuzi kama huo :A S thumbs_down::coffee::A S thumbs_down:
 
mngemegeana tu but baada ya hapo uhusiano na hao mabint unaisha!!
 
Ni wapumbavu na hawapendani wala kujali hatma zao binafsi na za mahusiano yao.......
Mwanaume/mwanamke mnayependana kweli na kuheshimiana haweza kushauri wala kufikiria upuuzi kama huo :A S thumbs_down::coffee::A S thumbs_down:

You ara right mydear:clap2:
 
HAO WOTE HAMNAZO,,,,,,,,,,,,,,,,,,,. UZUNGU UKIZIDI BWANA!!:angry:
 
Ni wapumbavu na hawapendani wala kujali hatma zao binafsi na za mahusiano yao.......
Mwanaume/mwanamke mnayependana kweli na kuheshimiana haweza kushauri wala kufikiria upuuzi kama huo :A S thumbs_down::coffee::A S thumbs_down:

kitakachofuatia watafanya the same to all their friends! ******
 
huo ni uchangudoa, hao mabint ni malaya na wanajijua so ndio ikawa rahisi wao kupropose huo uchafu... hapo nikuchapa na kuwapiga chini
 
Simple! Ningekuwa mimi ningekataa. Mambo ya kishamba ya kubadilishana mademu, ili iweje?
 
Back
Top Bottom