Kama hujawa tayari kuishi na kuiheshimu ndoa yako ni bora ubaki peke yako na uhuru wako

Kama hujawa tayari kuishi na kuiheshimu ndoa yako ni bora ubaki peke yako na uhuru wako

Half american

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
38,283
Reaction score
97,793
Tazama Hapa tukio la FUMANIZI la jamaa mmoja ambaye alifanikiwa kumfuma mke wake wa ndoa akijivinjari na mwanaume mwingine nyumba ya jirani.

Angalizo: Punguza Sauti Kama upo kwenye watu wengi


View: https://www.instagram.com/reel/C5pbVlzIiGv/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==

Kama mtu hujawa tayari kuitumikia ndoa na kuiheshimu ni bora usiingie ndoani, haya mafumanizi yanagharimu sana watu, watu wanakufa, wanafungwa na familia zinasambaratika kwa sababu ya usaliti.
 
Zamani mtu akiolewa hata kumtongoza watu wanaogopa ila sio sasa...Mtu bado anajipost mtandaoni kweny comments unaona neno ''mchumba" hujui kama utani wala nn , tena aliyecomment ni mtu mwingine wala sio mumewe .

kushikana kwa sana .
 
Kataa Ndoa linda Amani yako.

Kataa Ndoa epuka Matapeli

Kataa Ndoa uishi kwa Amani

Kataa Ndoa epuka Wachawi

Kataa Ndoa upate Mafanikio

Kataa Ndoa epuka kuoa Malaya

KATAA! KATAA! KATA! KATAA! KATAA!

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Back
Top Bottom